Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
"Amemuumba mtu kwa tone la manii, basi naye ghafla! amekuwa mshindani wa wazi."Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kuna sehemu nimesema kiburi na jeuri vinazuia kifo?
Unasoma na kuelewa kilicho andikwa?
Au unajitungia maneno yako ambayo hata sikuyasema?
Qur'an 16:4