The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu hapa sio swala la kubishana, Acha kujipa headache, Sawa ni Ndugu yako lakini alipokuwa anakunywa si alijua ni simu? Tena kumshauri aache anakuona wewe mijinga, sasa kwanini useme kwamba anakutesa anapoumwa hospitalini? Mwachie apambane kama anakufa afe tuHajakwaza mtu mjomba ila ukweli ni kuwa hao wanaokunywa wengine ndugu zetu tunateseka nao hospital huku
Inabidi uelewe Hilo maana tunajua kwenye kubisha Upo smart sana
Kila kinywaji ukiacha hivi locals vya mtaani kama Chang'aa, Piwa, Gongo, Wanzuki, Ulanzi, Dadii, Mbege, Banana.Mwachie ajifiei mwenyewe kama ni kwa uzembe Wake tatizo tunajifanya tuna Huruma Sana, mtu anabugia mapombe na anajua ni hatari kwa afya, harafu natokea Mbugila mmoja hivi eti anamuonea Huruma akishaumwa maini.
Au sioMkuu hapa sio swala la kubishana, Acha kujipa headache, Sawa ni Ndugu yako lakini alipokuwa anakunywa si alijua ni simu? Tena kumshauri aache anakuona wewe mijinga, sasa kwanini useme kwamba anakutesa anapoumwa hospitalini? Mwachie apambane kama anakufa afe tu
Umewahi kunywa mixer ya sminorff vodca+azam energy+ ice cubes?u mj
Kila kinywaji ukiacha hivi locals vya mtaani kama Chang'aa, Piwa, Gongo, Wanzuki, Ulanzi, Dadii, Mbege, Banana.
Vinywaji vingine vimewekwa maonyo na tahadhari, pia kuna kiwango cha kilevi.
Sasa kama mtu anapuuza maonyo yote hayo, ina maana haitaji kushauriwa. Anajua anachokifanya.
Kwa hiyo acha watu wanywe.
Maadam! Hawavunji sheria ya nchi ni uhuru wao kunywa lita watakazao.i ta
Mtu akinywa energy drink chupa tano kwa siku, Wewe ana kukwaza nini?
Pesa yake, afya yake, mwili wake.
Wewe unaumia nini, mtu akinywa Pombe kali kupitiliza?
Mtu kama alishaonywa vya kutosha, punguza Pombe, Acha Pombe hasikii.Hajakwaza mtu mjomba ila ukweli ni kuwa hao wanaokunywa wengine ndugu zetu tunateseka nao hospital huku.
Inabidi uelewe Hilo maana tunajua kwenye kubisha Upo smart sana
Kila kinywaji ukiacha hivi locals vimewekwa kiwango cha kilevi.lakin tahadhari muhimu
Wapi huko mkuu na mm nataka kujaTumtumainie yeye ili baada ya kifo tuishi milele kwa starehe
kabisa umesema kweli mkuu, tatizo watu wabishiKila kinywaji ukiacha hivi locals vimewekwa kiwango cha kilevi.
Hiyo ni tahadhari ambayo wengi wanapuuza, Halafu wakianza kuumwa wanaanza kutafuta huruma.
huenda lile neno ya kwamba watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa linatimia kwa namna hiyo pia gentleman, ukiachana na ile ya style ya kubebwa ufala wa kifikra ili kushiriki maandamano haramu ya kigaidi ya kuangamiza kilofa zaidi 🐒salaam,
Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini
7awaIssue sio kufa coz death is innevitable,
Issue ni kuteseka na maradhi,kwani watu hua wanaenda Hospitali ili kukizuwia kifo?
Mtu anatibiwa ili awe na afya njema,maradhi ni mateso,
Bila kua na afya njema basi kila kitu hapa Duniani utakiona ni cha hovyo na hakina thamani wala maana kwako.
umeyaona madhara yaliyoaieishwa mkuuMe nakunywaga mara Moja Moja nikiwa na uchovu
umeona madhara yaliyoainishwa hapo mkuuNdio kifungua kinywa changu hicho, nakunywa na vitumbua vitano
Watu si kwamba hawajui energy drinks zina Madhara.nimecheka sana maswali yako na ushauri wako, nimekukubali sana
yaani utakuta mtu anaumia au anamwongelea mwenzake kwa masikitiko wakati ya kwake yanamshinda
mtizamo wako ndio maisha nnayo ishi, sina rafiki mbeya wala mnafik wala mjuaji wa kuhukumu wenzie
tatizo watu wabishiMtu kama alishaonywa vya kutosha, punguza Pombe, Acha Pombe hasikii.
Huyo ni kuachana nae. Akiumwa afe kivyake.
Dokta Janabi kila mara anatoa ushauri kwa watanzania ila watu wanamchukulia poa.
Sasa watu wa namna hii wakianza kuumwa Hawahitaji Huruma ya aina yoyote ile.
Ni kuwaacha wafe, maana madhara waliyajua na wakayapuuza.
Kama mtu anapuuza madhara ya kitu, akipata madhara hayo, akafie mbele tu. Asianze kusumbua watu.