Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

Mungu anasema kupitia maandiko matakatifu maisha ni mafupi,maisha ya milele yapo baada ya kifo.
Tumtumainie yeye ili baada ya kifo tuishi milele kwa starehe
Starehe ipi mkuu, hii ya kusifu na kuabudu saa 24?
 
Asante Mungu kwa Kunipa Akili na Utakatifu.
Sijafika Hata 32.

1. Sijawahi kunywa pombe.
2. Sijawahi kunywa Energy.
3. Sijawahi kuvuta Sigara.
4. Sijawahi kutembea na Kahaba.
5.Sijawahi kucheza Kamali Yoyote.
6. Sijawahi Kubeti.
7.Niliacha Soda miaka 10 iliyopita.
8. Sijawahi kupiga Punyeto.
10. Niliacha kunywa chai asubuhi (nakunywa Supu, maharage, Choroko, ugali Ndizi Magimbi nk.
 
tatizo watu wabishi
 
Pombe ina faida zake mwilini na kijamii
Punyeto ina faida zake
Kahaba ana k kama ya mwanamke yoyote
Kamali ni mchezo sio kazi
Kama hunywi chai huna akili timamu, hujui umuhimu wa green tea
 
Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 500,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
 
Now this is your life enjoy it.

Na wanywa Pombe na Energy drinks na wao wanafurahia vitu hivi. Kama sehemu ya furaha kwenye maisha yao.
 
Wacheni maneno maneno na kuharibu biashara za watu, TFDA wapo na TBS wapo… wangekuwa wameshavipiga marufuku kitambo tu! Hakuna kisicho na madhara duniani wala kisicho na faida.
 
Kujikweza tu… nyoko 😒

Eti sijawahi kupiga punyeto 😂
 
Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 500,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
This kind of fallacy is called red herring.

The red herring fallacy is a logical error where someone introduces an irrelevant topic to distract the audience and shift attention away from the original issue.

Instead of addressing the core argument, the speaker misdirects the conversation, often to a subject they are more comfortable discussing.
 
Wewe ni expected members,tunakusoma kwny mada mbalimbali.

Kiburi cha uzima kisikupe sifa za muda mfupi sana tubu Rudi kwa muumba wako.
 
Sijawahi kufika.

Nikuthibitishie kupitia maandiko?
Maandiko ndio uthibitisho?

Nipe kitu halisi, maandiko hata hadithi n maandiko.

Anyway, kama haujafika umejuaje pako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…