Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
"Amemuumba mtu kwa tone la manii, basi naye ghafla! amekuwa mshindani wa wazi."Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kuna sehemu nimesema kiburi na jeuri vinazuia kifo?
Unasoma na kuelewa kilicho andikwa?
Au unajitungia maneno yako ambayo hata sikuyasema?
Kuna aliyeomba huu uzima?Wewe ni expected members,tunakusoma kwny mada mbalimbali.
Kiburi cha uzima kisikupe sifa za muda mfupi sana tubu Rudi kwa muumba wako.
Watu hawaumbwi."Amemuumba mtu kwa tone la manii, basi naye ghafla! amekuwa mshindani wa wazi."
Qur'an 16:4
Na wakasema {waliokufuru} : "Hivi ni visa vya watu wa kale alivyoviandikisha tu, basi anasomewa juu yake asubuhi na jioni, waambie, ameyateremsha haya {maneno} ajuaye siri za mbinguni na ardhini, hakika yeye ni mwingi wa kusamehe mwenye kurehemu."Watu hawaumbwi.
Watu wanazaliwa.
Hiyo Quran yenu ni porojo na hekaya za kusadikika.
Haujatoka wewe mshamba acha uziwa ziwa"Amemuumba mtu kwa tone la manii, basi naye ghafla! amekuwa mshindani wa wazi."
Qur'an 16:4
Kinywaji cha peponitupe uzoefu mkuu inakuwaje
haa haaa unaona kumbe hata huyajui madhara yake we unasema tu huogopi hauumiiNdo nn hy?
Ndo useme n nnhaa haaa unaona kumbe hata huyajui madhara yake we unasema tu huogopi hauumii
usijali we si hauogopi piga energy drink kwa raha zako. Watz wengi ni wavivu umewekewa link ukatazame ujifunze wewe unataka utafuniwe na bado kejeli juu. Usijali mkuu ENDELEA KUZINYWANdo useme n nn