Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Shambulio hilo halikulenga maslahi yoyote ya kiraia au kiuchumi, badala yake lililenga mali za kijeshi, haswa kituo cha kijasusi katika Mlima Hermon ambacho kilitumika kuwezesha shambulio la ubalozi mdogo wa Irani nchini Syria, pamoja na Nevatim Airbase katika jangwa la Negev kutoka. ambapo ndege za kivita za Israel zilizolenga ubalozi mdogo zilizinduliwa.

Bagheri alisema wote wawili "waliharibiwa sana na walemavu" na akaonya kwamba Iran inaweza kufanya mashambulizi "mara kumi zaidi".

Kwa ufupi ni successfully, sasa kama Israel na washirika wake watajibu wajaribu waone moto
 

Kwa hiyo umeamini anachosema Israel ndiyo ulio ukweli tupu?

Hiiiiiiii bagosha!
 
Nyuklia!? Nani kati ya hao wakubwa hana nyuklia!? Eti ina allies!? Allies Gani ambao wameshawahi msaidia Iran!?
 
Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
Eti waburuza dera 🤣🤣🤣🤣
 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
Aljezira TV wangeshatuonyesha miili na majengo yaliobomolea na mizinga na drone za Iran
 

Iran alifikiri Israel ni Urojo wa Michenzani🤣🤣🤣 eti akimpiga tena ataona cha moto🤣🤣 adui yako ukipata upenyo unatakiwa umpige mpaka afe kabisa... sasa unampigaje adui mara moja alafu una mwambia ukinipiga tena utaona cha mtema kuni🤣🤣🤣. Hapa Iran alitakiwa aonyeshe Dunia kuwa yupo Ngangali angerusha mizinga mfululizo kama wiki 2 hivi non stop. Unarusha vidrone vya dola 200 180 pumzi zimekata. Yeye si anasema anawamudu Israel USA na UK sasa why amekata pumzi siku moja tu🤣🤣
 

View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779409978811699574?t=QqY648wnPcAYWjpgMUa02g&s=19
View: https://twitter.com/WarMonitors/status/1779307688628769023?t=gTmJ8MUEMnr1nJIk_aNsgA&s=19
 
Kumbe mwamba ngoma aliacha lini kuvutia kwake?

View attachment 2963145

Habari ndiyo hiyo.
Mashambulia yamefanikiwa Kwa kiasia , mengine ni kujifariji tuu.

Hakuna ambae hajui Wala hakutarajia kwamba eti sehemu ya makombora au drones kuwa intercepted lakini yamepenya ya kutosha tuu Kwa Nguvu ya kadiri iliyotumiwa na Iran.
 
Kipigo Kakipata

View: https://twitter.com/ESSA_A1I/status/1779304880114446625?t=b7XvYJolTym7hmZcb_U_JQ&s=19
 
Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄
Wewe jamaa sijui unatumiaga Nini kufili. Anaetakiwa kutuonesha mafanikio ya alichokifanya ni nani?? Kama iran ameweza kutuma makombora kutoka kwao mpaka uyahudini anashindwa Nini kuchukua video kutuonesha vile alivyolenga target na kufanya uharibifu?
Kwa akili ya kawaida tu hata bila kwenda shule inaonesha hio operation imefeli vibaya sana na hii ni aibu kubwa kwa iran.

Idadi ya makombora waliyolusha ilitakiwa sasa hivi Izrael inawaka moto Kila mahali
 
Eneo takatifu duniani? Labda kwa baba ako na mamaako yani Kuna maafrika hayajipendi usione shida kutopendwa na wazungu???
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…