Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
mmanina Muajemi.
Iran shikamoo🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
brazaj na wavaa dera wenzako mshukuru sana sayansi ya Israel, maana yule akbar akbar ameshindwa kupalinda.
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442
View attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto smbaye amejeruhiwa na manaki ya kombora lililoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
Nyuklia!? Nani kati ya hao wakubwa hana nyuklia!? Eti ina allies!? Allies Gani ambao wameshawahi msaidia Iran!?Open your mind. Iran ina nyuklia mind you, na ni nchi tajiri na ina allies kama Turkey, China na Russia. Sio vita ya nchi mbili jinsi unawaza kwa mtazamo wa kuchakazwa gaza isiyo na serikali wala silaha, ndo maana US wanadiscuss njia za amani na sio vita. Iran hatagongwa, watagongana na Israel. Shule zimefungwa Israel baada ya makombora ya jana watu Israel wameambiwa wakae mkao wa kukimbia mda wote ukiona kombora linashuka!!
Source : Al Jazeera TV 📺
Amka
Eti waburuza dera 🤣🤣🤣🤣Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
Sometimes JF kuna vituko sana mkuu.View attachment 2962851upo jf unasema Israel kapigika,mhusika anakuambia hakuna kitu 😄😄
Ngoja tukuamini wewe,kapigika kweli kweli
Aljezira TV wangeshatuonyesha miili na majengo yaliobomolea na mizinga na drone za Iran😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442
Mashambulia yamefanikiwa Kwa kiasia , mengine ni kujifariji tuu.
Makombora yanaonekana kutua kuelekea yalikokusudiwa wewe unasema yametunguliwa.
Jerusalem ndipo ilipo nyumba moja ya Netanyahu.
Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄
Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄
Hapa wana Wa Israel wanalia kama Kuku Kishingommanina Muajemi.
Iran shikamoo🙏
Kipigo KakipataView attachment 2963197
Iran alifikiri Israel ni Urojo wa Michenzani🤣🤣🤣 eti akimpiga tena ataona cha moto🤣🤣 adui yako ukipata upenyo unatakiwa umpige mpaka afe kabisa... sasa unampigaje adui mara moja alafu una mwambia ukinipiga tena utaona cha mtema kuni🤣🤣🤣. Hapa Iran alitakiwa aonyeshe Dunia kuwa yupo Ngangali angerusha mizinga mfululizo kama wiki 2 hivi non stop. Unarusha vidrone vya dola 200 180 pumzi zimekata. Yeye si anasema anawamudu Israel USA na UK sasa why amekata pumzi siku moja tu🤣🤣
Wewe jamaa sijui unatumiaga Nini kufili. Anaetakiwa kutuonesha mafanikio ya alichokifanya ni nani?? Kama iran ameweza kutuma makombora kutoka kwao mpaka uyahudini anashindwa Nini kuchukua video kutuonesha vile alivyolenga target na kufanya uharibifu?Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄
Wewe jamaa sijui unatumiaga Nini kufili. Anaetakiwa kutuonesha mafanikio ya alichokifanya ni nani?? Kama iran ameweza kutuma makombora kutoka kwao mpaka uyahudini anashindwa Nini kuchukua video kutuonesha vile alivyolenga target na kufanya uharibifu?
Kwa akili ya kawaida tu hata bila kwenda shule inaonesha hio operation imefeli vibaya sana na hii ni aibu kubwa kwa iran.
Idadi ya makombora waliyolusha ilitakiwa sasa hivi Izrael inawaka moto Kila mahali