"Iran imesema" Yaani mumekosa hata muislamu mmoja Israel mwenye simu aonyeshe walau kombora moja kati ya hizo 500 likipiga sehemu yoyote Israel.
Hii ni aibu kubwa sana kwa wa
Iran sio waarabu ndomaana wana akili tofauti na waarabu... Wa Iran ni waajemi ambao ktk History nadhan walitutawala mapaka sisi maana kuna alama zao ambao waliziacha uko PwaniKwa nini Jordan anaisaidia Israel dhidi ya mwarabu mwenzake?
Nachoomba mkirudishiwa 10,000 on target msilalamike na kuanza kukimbilia UN kutafuta maazimia ya kumlaani myahudi, soon majibu mtayapata na hamtayapenda
Teh! Hakuna nchi chini ya jua itamzuia Marekani kuingilia vita kati ya Iran na IsraelIran ni nchi tajiri yenye silaha za maangamizi sio kikundi kama Hamas, ni wazungu ambao hivi sasa wanakutana na kuomba cease fire. Angalia TV acha kujidanganya, nyuma ya Iran kuna Russia, China na Turkey wote watatuma silaha Iran zikafanyiwe majaribio Israel. Iran wameonya Israel isijaribu kujibu wataangamia.
Bado huijui Iran ambayo Marekani inahangaika nayo kuzuia uzalishaji wa silaha za nyuklia ambapo wanasayansi wake sita wa nyuklia wamewindwa na kuuawa.
Marekani wameiambia Israel haitajiingiza katika vita iwapo watajibu mapigo. Hawamo!!
Waziri mkuu wa Israel hadi sasa yuko kimya na si kawaida yake.
Huko mashariki ya kati kunatisha hivi sasa baada ya makombora ya Iran kurushwa jana, na mengine wameona yalitoka Syria na Iraq.
Wazungu wameambiwa wasiende huko kwasasa kunatisha.
Hii ni vita ya tembo na athari zake zitafika duniani kote hadi bongo.
Source : Al Jazeera TV
Amka
Wao wenyewe ndo wamesema angalia TV. Hawataki kuburuzwa kwenye ugomvi usiowahusu maana kuna uchaguzi wa rais NovTeh! Hakuna nchi chini ya jua itamzuia Marekani kuingilia vita kati ya Iran na Israel
Israel ingekua inawaka moto km Baba zake na Wajomba zake wasingeingilia kati kuyazuia...usijitoe ufahamuWewe jamaa sijui unatumiaga Nini kufili. Anaetakiwa kutuonesha mafanikio ya alichokifanya ni nani?? Kama iran ameweza kutuma makombora kutoka kwao mpaka uyahudini anashindwa Nini kuchukua video kutuonesha vile alivyolenga target na kufanya uharibifu?
Kwa akili ya kawaida tu hata bila kwenda shule inaonesha hio operation imefeli vibaya sana na hii ni aibu kubwa kwa iran.
Idadi ya makombora waliyolusha ilitakiwa sasa hivi Izrael inawaka moto Kila mahali
Eti halafu Israel inasema imejeruhi mtoto mdogo huyo mtoto kaenda kufanya nini kwenye kambi ya jeshi?Wamepiga hadi kambi ya jeshi unasema missiles zimekuwa intercepted
Ingia instagram tmjnewsnetwork ukajionee, makombora yametua na kufanya uharibifu mkubwa na wenyewe wanasema hiyo ni breakfast, dunia ya sasa kila nchi ina vyuma hatariIsrael ingekua inawaka moto km Baba zake na Wajomba zake wasingeingilia kati kuyazuia...usijitoe ufahamu
True promis...wairan walicho kisema ndicho wanacho kifanya,,,😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.
Laba kalienda kupata mafunzo ya kijeshiEti halafu Israel inasema imejeruhi mtoto mdogo huyo mtoto kaenda kufanya nini kwenye kambi ya jeshi?
Haha drone za Iran hazifati GPS dogo, usidhani Missiles zote zinafata GPS.Kuzimwa kwa GPS huko Mashariki ya Kati yote ni ishara kuwa Israel wamefanikiwa kuyadungua.
HahahaDuh vita ikianza huko ,huku patasahaulika kifuatacho ni kimmbembe maana utashanga Rwanda anaitaka Kigoma nasie tunaanza kukipiga..mungu tuepushie mbali
Na wewe umewaamini, ulitaka waseme wamepigwa sana? Au wasema kwamba hawatarudisha?
Hakuna media iliyozuiwa kufanya kazi, ni ubabaishaji tu.Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄
Wewe huelewi tu, Israel kaitafuta hii vita muda mrefu na sasa Iran kajichanganya, subiria majibu.Wasikudanganye na propaganda kuwa missiles hazitui , ingekuwa hivyo Israel wasingetishika kwa kiwango hiki, huko Israel na Marekani tangu jana ni vikao tu wanajadili nini kifanyike Iran isiendeleze mashambulizi. Israel hawasemi kama watajibu au la. Iran wanataka Vita kwa nguvu wakatest nyuklia zao Israel
Usikimbie.Wewe huelewi tu, Israel kaitafuta hii vita muda mrefu na sasa Iran kajichanganya, subiria majibu.