Uchaguzi 2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

Katika mikoa ambayo chadema haina haja ya kutumia nguvu nyingi bado ni huko....sasa jitoeni ufahamu muibe Kura zao...
 
Magufuli anabwagwa na Lissu ni wapi atakakominyia maendeleo ? hana tena nafasi hiyo , anaangukia pua safari hii
yaani unajipaga matumaini nakituambacho hakiwezekani mpaka nakunaga wewe siyo binadamu inawezekana wewe ni jini aiseeeeyaanilissu awe rais?
 
Ujinga, kuna mtu nilimbishia siku moja kuwa ccm hupendwa zaidi na wajinga kwa kuwa mtaji wake umelala kwenye ujinga na umaskini. Kumbe ni kweli. Kodi walipe watu wote halafu miradi wapendelewe waliochagua ccm? Ujinga.
 
Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Kumi tu, hawa hapa.
1. Devotha Minja (Morogoro mjini)
2. Grace Tendega ( Karenga)
3. Asia Msangi ( Ukonga)
4. Rebecca Mn`godo ( Arumeru Mashariki)
5. Cessilia Pareso (Karatu)
6. Lucy Ndesamburo ( Moshi)
7. Yosepha Komba ( Muheza)
8. Neema Chisanga ( Momba)
9. Sophia Mwakagenda(Rungwe)
10. Ashura Mashaka (Buyungu)
 
Akili zako ni ndogo kama piriton. Wewe unaona mtu anayebagua watu kisa hawakumpigia kura kweli huyo anafaa kuwa rais.

Kama huyo ndio mtu mnayemfagilia basi hata nyie hamjui ni kwa nini mnapiga kura.

The greatest mistake democracy has made is to give an illiterate the right to vote.
 
Mhutu mbona kaishaiua CCM , hata alionao CCM wenzie wako naye kimwili kiroho hawako naye kabisa wako CDM nakwambia wanatamani hata izraili amtembelee mapema.
 
Ujinga, kuna mtu nilimbishia siku moja kuwa ccm hupendwa zaidi na wajinga kwa kuwa mtaji wake umelala kwenye ujinga na umaskini. Kumbe ni kweli. Kodi walipe watu wote halafu miradi wapendelewe waliochagua ccm? Ujinga.
Utabishana na anayesikilizwa na jeshi mkuu. Pambana na hali yako kwanza. Ccm mwaka huu tarime,Arusha, iringa mpaka mbeya kote inachukua. Unataka upambane na dola umekuwa nani. Angalia utapotezwa na utafutwe ukosekani na Upo unaishi
 
Nakuomba uje na demokrasia yako ambayo literate wenyewe mtakuwa mnapiga kura. Watu tunaenda na upepo tunachotaka ni maendeleo na sio ujuaji kuwa huyu hafai. Kama raisi aliyechaguliwa na wananchi hammuheshimu sasa mnapiga tufanyeje. Mnaongea na amiri jeshi mkuu mmeweka mikono mifukoni sijui kama wazazi wenu huwa mnafanya ivyo ivyo.
 
Mungu yupi uliyemkusudia ww kama ni huyu munae mtesea mashekhe wake muliowaweka ndani huu ni mwaka wa nane naona hiyo dua yako itakua na mushkeli

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…