mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Vipi umeshatoa mchango kwa Lissu apande Chopa?Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali.
Jionee mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi umeshatoa mchango kwa Lissu apande Chopa?Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali.
Jionee mwenyewe.
mwishaanza kuruka kimanga kudadeki !Jibu swali, ulinisikia wapi?
Kumi watoke wapi mkuu?Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Hawatazidi wawili,Mkuu siyo wawili tena ?
yaani unajipaga matumaini nakituambacho hakiwezekani mpaka nakunaga wewe siyo binadamu inawezekana wewe ni jini aiseeeeyaanilissu awe rais?Magufuli anabwagwa na Lissu ni wapi atakakominyia maendeleo ? hana tena nafasi hiyo , anaangukia pua safari hii
WATOTO oyeeeeeeeeeeeeee!Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali.
Jionee mwenyewe.
Mmesha ambiwa matokeo ya mashaka Marekani hata yatambua! Na kitakacho fuata ni kajamaa kupelekwa kuleee ughaibuni kujibu maswali ya Mahakama ya wazungu.Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Mapingamizi tuliwakea ya nini?Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Ujinga, kuna mtu nilimbishia siku moja kuwa ccm hupendwa zaidi na wajinga kwa kuwa mtaji wake umelala kwenye ujinga na umaskini. Kumbe ni kweli. Kodi walipe watu wote halafu miradi wapendelewe waliochagua ccm? Ujinga.Heche anapoteza muda wake. Kwanza upinzani wanamkera sana raisi na ndo mana amewanunua ili muishe. Mana mnamchanganya kwenye utendaji. Uelewe awamu hii wapinzani hawana kazi mana hakuna safari za nje,ufisadi hakuna.
Na ndo mana mnaongea na kiongozi wa nchi mmeweka mikono mfukoni. Hata baba yenu mnakuwaga ivyo ivyo? Ama ni kuburi cha kikurya kuwa ni murisha.
Chadema awamu hii hampiti tarime. Tuchague upinzani afu tutengwe kuletewa Huduma za kijamii. Na sema kwa no kubwa sana. Tena no mana jpm hataki wapinzani hammsikilizi raisi kazi ni kupinga tu.
Pia awamu hii uongozi unaenda kwa Uko wa akina weitara. Hata huyu sijui ni wa wapi hajui unabii ulivyonenwa hapo zamani za kale yaani za kale. Jimbo likiwa LA wapinzani mnatengwa pia mkiomba Huduma hampewi na serikali mana muwakilishi wenu ni wa cdm na huku raisi ni wa chama Kingine kazi inabaki kuvutana tu.
Angalia hata KISHIRI tu ilishabikia chadema mpaka Leo hii hakuna umeme wala maji mpaka barabara
Kumi tu, hawa hapa.Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Akili zako ni ndogo kama piriton. Wewe unaona mtu anayebagua watu kisa hawakumpigia kura kweli huyo anafaa kuwa rais.Heche anapoteza muda wake. Kwanza upinzani wanamkera sana raisi na ndo mana amewanunua ili muishe. Mana mnamchanganya kwenye utendaji. Uelewe awamu hii wapinzani hawana kazi mana hakuna safari za nje,ufisadi hakuna.
Na ndo mana mnaongea na kiongozi wa nchi mmeweka mikono mfukoni. Hata baba yenu mnakuwaga ivyo ivyo? Ama ni kuburi cha kikurya kuwa ni murisha.
Chadema awamu hii hampiti tarime. Tuchague upinzani afu tutengwe kuletewa Huduma za kijamii. Na sema kwa no kubwa sana. Tena no mana jpm hataki wapinzani hammsikilizi raisi kazi ni kupinga tu.
Pia awamu hii uongozi unaenda kwa Uko wa akina weitara. Hata huyu sijui ni wa wapi hajui unabii ulivyonenwa hapo zamani za kale yaani za kale. Jimbo likiwa LA wapinzani mnatengwa pia mkiomba Huduma hampewi na serikali mana muwakilishi wenu ni wa cdm na huku raisi ni wa chama Kingine kazi inabaki kuvutana tu.
Angalia hata KISHIRI tu ilishabikia chadema mpaka Leo hii hakuna umeme wala maji mpaka barabara
Kwa kuwa wengi wao wataenguliwa kama ilivyofanyika kwenye uteuzi.Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Utabishana na anayesikilizwa na jeshi mkuu. Pambana na hali yako kwanza. Ccm mwaka huu tarime,Arusha, iringa mpaka mbeya kote inachukua. Unataka upambane na dola umekuwa nani. Angalia utapotezwa na utafutwe ukosekani na Upo unaishiUjinga, kuna mtu nilimbishia siku moja kuwa ccm hupendwa zaidi na wajinga kwa kuwa mtaji wake umelala kwenye ujinga na umaskini. Kumbe ni kweli. Kodi walipe watu wote halafu miradi wapendelewe waliochagua ccm? Ujinga.
Nakuomba uje na demokrasia yako ambayo literate wenyewe mtakuwa mnapiga kura. Watu tunaenda na upepo tunachotaka ni maendeleo na sio ujuaji kuwa huyu hafai. Kama raisi aliyechaguliwa na wananchi hammuheshimu sasa mnapiga tufanyeje. Mnaongea na amiri jeshi mkuu mmeweka mikono mifukoni sijui kama wazazi wenu huwa mnafanya ivyo ivyo.Akili zako ni ndogo kama piriton. Wewe unaona mtu anayebagua watu kisa hawakumpigia kura kweli huyo anafaa kuwa rais.
Kama huyo ndio mtu mnayemfagilia basi hata nyie hamjui ni kwa nini mnapiga kura.
The greatest mistake democracy has made is to give an illiterate the right to vote.
Kumbuka kwamba Magufuli na mgombea wake walizomewa huko kwao kanda ya ziwa hadi akakasirika na kuwatisha
Kama nyinyi mulivo omba lisu afe kipindi mulipo mpiga risasiMkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Mungu yupi uliyemkusudia ww kama ni huyu munae mtesea mashekhe wake muliowaweka ndani huu ni mwaka wa nane naona hiyo dua yako itakua na mushkeliUnaipungia Mkono Wa Kwaheri CCM simply Kwa kuwa Ndg.Heche Ameshangiliwa na WANAKIJIJI Katika KATA?!!
Yaani Wanakijiji Wa Kijiji Kimoja....Hata Ingekuwa Kata Nzimaa...
[emoji23][emoji23]Seli Nyekundu Za Damu Banaaa....
Haya MUNGU Atupe sote Pumzi na Afya Tele Tuione Wiki ya Baada ya Oktoba 28 Aaamin.