Uchaguzi 2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

Kumbe hawakuunga juhudi wamenunuliwa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huko si ameenda Waitara ambaye amesema amekuja kuifuta CHADEMA baada ya kuisambaratisha vipande vipande Dar es Salaam ?
 
Endelea kuabudu sanamu.
 
Waacheni wachague cdm, sikuhizi korokoroni na wauza mayai wamekuwa adimu, wamasai nao wamejanjaruka,

Hamna kuwajengea shule wakomee la saba tupate walinzi wa usiku
 
Angalia hata KISHIRI tu ilishabikia chadema mpaka Leo hii hakuna umeme wala maji mpaka barabara
Moshi ni Jimbo ambalo tangu mfumo wa Vyama vingi uanzishwe haijawahi Kutawaliwa na Mbunge wa CCM; Lakini kwa suala la Maendeleo iko Mbele sana; Awamu ya Mkapa zote, Awamu za kikwete zote na Awamu ya Magufuli iliyopita bado ni Upinzani; lakini kuna majimbo ambayo nimetembea nikiwa Tz Hayajawahi kushikwa na Upinzani Buchosa, Kishapu, Maswa Magharibi na Mashariki zote; lakini hali zake si nzuri sana, Hasa kwenye Suala la Maji na Afya.

Pamoja na Kukubaliana na Rais JPM kwenye mambo kadha wa kadha; Ila Suala hili Halina point kwamba huleti maendeleo kwa pinzani ni Ushamaba sana maana hakuna haja ya Kuwa na Vyama vingi.
 
Mkipata wabunge kumi ombeni Mungu.
Watu wamebadirika sana brother,hata mimi nilidhani hivyo mwanzo kwa jinsi mlivyokuwa mmejiandaa,miaka mitano ya kampeini + wakurugenzi wote mkaweka makada + tume ya uchaguzi mkaweka makada, lakini si shwali bado kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…