issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Kumbe hawakuunga juhudi wamenunuliwaHeche anapoteza muda wake. Kwanza upinzani wanamkera sana raisi na ndo mana amewanunua ili muishe. Mana mnamchanganya kwenye utendaji. Uelewe awamu hii wapinzani hawana kazi mana hakuna safari za nje,ufisadi hakuna.
Na ndo mana mnaongea na kiongozi wa nchi mmeweka mikono mfukoni. Hata baba yenu mnakuwaga ivyo ivyo? Ama ni kuburi cha kikurya kuwa ni murisha.
Chadema awamu hii hampiti tarime. Tuchague upinzani afu tutengwe kuletewa Huduma za kijamii. Na sema kwa no kubwa sana. Tena no mana jpm hataki wapinzani hammsikilizi raisi kazi ni kupinga tu.
Pia awamu hii uongozi unaenda kwa Uko wa akina weitara. Hata huyu sijui ni wa wapi hajui unabii ulivyonenwa hapo zamani za kale yaani za kale. Jimbo likiwa LA wapinzani mnatengwa pia mkiomba Huduma hampewi na serikali mana muwakilishi wenu ni wa cdm na huku raisi ni wa chama Kingine kazi inabaki kuvutana tu.
Angalia hata KISHIRI tu ilishabikia chadema mpaka Leo hii hakuna umeme wala maji mpaka barabara
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app