VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

Hivi unaanzaje kwenda kwenye ofisi za wapinzani wake kusalimia,je? Ipo kwenye ratiba za nec

Hivi alienda au alikuwa barabarani... Au Kuna picha nyingine inaonesha akienda ofisini kusalimia...???
Mataga bana. Yaani yie kila sehemu mnataga tu!!!
 
Vurugu hazikubaliki, bilaAmani hata huo uchaguzi hautafanyika!!

Kunafanyika Kampeni na hatimaye uchaguzi ni Kwa sababu kuna Amani,

Huyu mbeligiji Yeye mwenyewe anajua kabisa hatoshinda, mpaka wapambe wake wote wanalijua Hilo, kinachofanyika ni kujaribu kuona kama naye anangekewa kiasi gani cha kukubalika?

Ikiwa ukawa ukipigiwa Chini sembuse huyo mbeligiji?

Tunasisitiza swala la Amani, Vyama vinadi Sera zao hila bughudha, mtu humtaki, tumia Sanduku la Kura kumkataa
 
Back
Top Bottom