VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

Hivi alienda au alikuwa barabarani... Au Kuna picha nyingine inaonesha akienda ofisini kusalimia...???
Mataga bana. Yaani yie kila sehemu mnataga tu!!!
Wewe jinga kweli,hapo alipo na wapambe wake ni yard ya CCM Kagera
 
CCM siasa za uhasama mtaacha lini?
Tazama hapa!
View attachment 1577360
Maccm mmewahi kuwaza kuhusu sera ya ukanda? Kwa sasa Kanda ya ziwa ni “untouchable“ ni kipaumbele kila kitu! Acheni upupu muelimisheni mgombea wenu ajifunze kuwapa wananchi wote haki sawa bila kuwabagua kikanda la sivyo ataishia kufokafoka tu majukwaani kura hapati!
 
Wewe jinga kweli,hapo alipo na wapambe wake ni yard ya ccm kagera
Ujinga ni kutokuelewa kitu wala si tusi... Kwa bwana mataga ccm siku hizi wanamiliki barabara?
Na je kumpopoa mtu kwa jiwe nayo ni sera yenu??
 
hata mim sijaona nimeona tu watu
Si rahisi kuona labda kama aliyekuwa anachukua video angekuwa ametabiri jiwe litarushwa aelekeze camera huko. Labda tukiongea kwa lugha rahisi kama hizi ndipo vichwa vizito vitaelewa
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
Chadema kwa kuota mchana hamko nyuma.Jibuni hoja ya sera yenu mufilisi ya majimbo, nyumba inawaka moto.Ccm
 
CCM siasa za uhasama mtaacha lini?
Tazama hapa!
View attachment 1577360
Sasa tumuulize Sirro hiyo ndio amani wanayoitaka? Akifanyiwa Lissu hiyo niamani ikigeuka kwao kunaviashiria vya amani kuvunjika
Nimeangalia nakusikiliza mkutano wavyama vya wagombea urais Sita hivi ambavyo hata haviwezi na havinauhakika wakushida hatakitongoji huko Zanzibar vikilialia amani amani lakini sikumsikia hatammoja wao aliozungumzia haki haq wakati wameambiwa mara nyingi amani nitunda lahaq kwaufafanuzi kamanijuanavyo au kuelewa mm kabla yatunda mti ulitangulia ndio likaja tunda napia tunda linamsimu kwamaana hiyo haki ndio mti ilitulematunda vizuri nabora turutubishe mti uzidi kumea
 
"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.

Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Ilishindwa au zilishindwa risasi 16+hizo=36 ndoitaweza hilojiwe 1 mtaokota makopo mwaka huu kama katibu wenuanavyo wapiga madongo ccm wasilazimishe kutukana
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
October 28,ccm itakushangaza.
 
Back
Top Bottom