Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Kweli,sijui yule wa Area D alikoseaje!"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Wewe jinga kweli,hapo alipo na wapambe wake ni yard ya CCM KageraHivi alienda au alikuwa barabarani... Au Kuna picha nyingine inaonesha akienda ofisini kusalimia...???
Mataga bana. Yaani yie kila sehemu mnataga tu!!!
Maccm mmewahi kuwaza kuhusu sera ya ukanda? Kwa sasa Kanda ya ziwa ni “untouchable“ ni kipaumbele kila kitu! Acheni upupu muelimisheni mgombea wenu ajifunze kuwapa wananchi wote haki sawa bila kuwabagua kikanda la sivyo ataishia kufokafoka tu majukwaani kura hapati!
Dsm wapo na Magufuli bega kwa begaMEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Endelea KuotaMEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Ujinga ni kutokuelewa kitu wala si tusi... Kwa bwana mataga ccm siku hizi wanamiliki barabara?Wewe jinga kweli,hapo alipo na wapambe wake ni yard ya ccm kagera
Si rahisi kuona labda kama aliyekuwa anachukua video angekuwa ametabiri jiwe litarushwa aelekeze camera huko. Labda tukiongea kwa lugha rahisi kama hizi ndipo vichwa vizito vitaelewahata mim sijaona nimeona tu watu
Cdm wamemwacha?
Chadema kwa kuota mchana hamko nyuma.Jibuni hoja ya sera yenu mufilisi ya majimbo, nyumba inawaka moto.CcmMEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Wanaume na Wanawake wa Dsm ndio wanachelewesha mageuzi...Dsm wapo na Magufuli bega kwa bega
Hili nalo kujitakia tu. Una sababu gani kusimama mbele ya ofisi ya CCM? Au ndo kuonesha unafaa sana?
Sasa tumuulize Sirro hiyo ndio amani wanayoitaka? Akifanyiwa Lissu hiyo niamani ikigeuka kwao kunaviashiria vya amani kuvunjika
Umeweka audio tunakuomba weka video ndugu
Ilishindwa au zilishindwa risasi 16+hizo=36 ndoitaweza hilojiwe 1 mtaokota makopo mwaka huu kama katibu wenuanavyo wapiga madongo ccm wasilazimishe kutukana"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Kada apewe ujumbe was shina?Huyo mtasikia kesho kapewa hata ujumbe wa shina
October 28,ccm itakushangaza.MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%