Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
Anataka muungano unaozingatia haki utakaoondoa migogoro Luluki upande mmoja kuona wanaonewaHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Huyu msaliti analeta uchochezi, adhibitiwe. Anavyoongea ni Kama siyo mtanzania ningekuwa rais asingefika hapo kuchafua waasisi wetu na kuhatarisha amani.Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
U-sensitive wake unatokana na nini? Hebu elezea basi watu wajue ni kwa nini suala la muungano liwe sensitive. Kuna watu wengi wamekaririshwa hii sentensi ya ''suala la muungano ni suala nyeti'' lakini ukiwauliza unyeti wake ni nini wanabaki kubung'aa.Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.
Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....
Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema
" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."
Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....
Tazama 👇
View attachment 1562723
Changamoto za Muungano zinatakiwa zishughulikiwe kistaarabu sio kuwajaza watu maneno ya chuki na uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, huo msemo umenikumbusha looong time, nilimkosa demu akaniambia ,,umechelewa“ , noma sana, ...
Ni ngumu sana kwa JPM kwenda kuzima moto huu, kwa sababu hata ndani ya chama wanajua masuala ya Muungano huwa yanaleta msuguano sana. Unakumbuka mjumbe wa bunge la Muungano toka Zenji jinsi alivyotetea maslahi yao na kutimuliwa bungeni?SIjui nani wa kwenda visiwani kusawazisha hii
Sasa wewe mtoto wa juzi tu unaelewa nini?Ndivyo mnavyoambizana Lumumba ??
Ni wajinga pekee wanaemshangailia Lisu,Kabisa. Lissu katiririka sana kuhusu historia ya muungano na mustakabali wake. Swali linakuja kwake, je itoke aupate uraisi, atauvunja?
SawaHizi ni stori za zamani sana. Eti kiulinzi. Basi tuungane na Msumbiji ili kuimarisha ulinzi wa mikoa ya kusini.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Wenye jukumu la ulinzi Tz hawapo Lumumba.Ndivyo mnavyoambizana Lumumba ??
Nasikitika kusema Lissu ni MUONGO na MCHONGANISHI.Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....
Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema
" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."
Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....
Tazama 👇
View attachment 1562723
Kaweka kila kitu wazi kaka, muungno una dhuluma nyingi sana ndani yake. Shirikisha ubongo wako kidogo kwenye hoja za Lissu, ucha kuandika matusiNi wajinga pekee wanaemshangailia Lisu,
Nasikitika kusema Lissu ni MUONGO na MCHONGANISHI.
Hajui historia ya Zanzibar na hajawahi kukaa huko kuijua zaidi ya kuisoma vitabuni.
Ati anasema askari wa Tanganyika wliingia kutawala Zanzibar 1957 na hawajatoka huko hadi leo.
Huo ni ujinga mkubwa wa kutojua historia ya Zanzibar.
Inaelekea hajui ubaguzi uliokuwepo huko kabla ya Mapinduzi.
Hajui ghiliba za ZPPP na ZNP kupokonya ushindi wa ASP katika kura.
Na hajui ni kw vipi mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yalitokea.
Lissu anajaribu kuwarudisha waarabu kwa mgongo wa CHADEMA na ACT.
Kwa vile haifahamu Zanzibar, asubiri moto wake.

Lissu anaongea kama mwanaharakati,anatafuta sifa,si kiongozi makini. Anapanda chuki ndani ya mioyo ya Wazanzibari,,sio mtu wa kujenga umoja... Muungano ni tunu yetu kama Watanzania,,eti Karume alilazimishwa,,sijui kama anao ushahidi.
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?