Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Huyu msaliti analeta uchochezi, adhibitiwe. Anavyoongea ni Kama siyo mtanzania ningekuwa rais asingefika hapo kuchafua waasisi wetu na kuhatarisha amani.
 
Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.

Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
U-sensitive wake unatokana na nini? Hebu elezea basi watu wajue ni kwa nini suala la muungano liwe sensitive. Kuna watu wengi wamekaririshwa hii sentensi ya ''suala la muungano ni suala nyeti'' lakini ukiwauliza unyeti wake ni nini wanabaki kubung'aa.
 
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....

Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema

" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."

Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....

Tazama 👇
View attachment 1562723

SIjui nani wa kwenda visiwani kusawazisha hii
 
SIjui nani wa kwenda visiwani kusawazisha hii
Ni ngumu sana kwa JPM kwenda kuzima moto huu, kwa sababu hata ndani ya chama wanajua masuala ya Muungano huwa yanaleta msuguano sana. Unakumbuka mjumbe wa bunge la Muungano toka Zenji jinsi alivyotetea maslahi yao na kutimuliwa bungeni?
 
Kabisa. Lissu katiririka sana kuhusu historia ya muungano na mustakabali wake. Swali linakuja kwake, je itoke aupate uraisi, atauvunja?
Ni wajinga pekee wanaemshangailia Lisu,
 
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....

Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema

" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."

Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....

Tazama 👇
View attachment 1562723
Nasikitika kusema Lissu ni MUONGO na MCHONGANISHI.
Hajui historia ya Zanzibar na hajawahi kukaa huko kuijua zaidi ya kuisoma vitabuni.
Ati anasema askari wa Tanganyika wliingia kutawala Zanzibar 1957 na hawajatoka huko hadi leo.
Huo ni ujinga mkubwa wa kutojua historia ya Zanzibar.

Inaelekea hajui ubaguzi uliokuwepo huko kabla ya Mapinduzi.
Hajui ghiliba za ZPPP na ZNP kupokonya ushindi wa ASP katika kura.
Na hajui ni kw vipi mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yalitokea.
Lissu anajaribu kuwarudisha waarabu kwa mgongo wa CHADEMA na ACT.
Kwa vile haifahamu Zanzibar, asubiri moto wake.
 
Lissu anaongea kama mwanaharakati,anatafuta sifa,si kiongozi makini. Anapanda chuki ndani ya mioyo ya Wazanzibari,,sio mtu wa kujenga umoja... Muungano ni tunu yetu kama Watanzania,,eti Karume alilazimishwa,,sijui kama anao ushahidi.
 
Ni wajinga pekee wanaemshangailia Lisu,
Kaweka kila kitu wazi kaka, muungno una dhuluma nyingi sana ndani yake. Shirikisha ubongo wako kidogo kwenye hoja za Lissu, ucha kuandika matusi
 
Nasikitika kusema Lissu ni MUONGO na MCHONGANISHI.
Hajui historia ya Zanzibar na hajawahi kukaa huko kuijua zaidi ya kuisoma vitabuni.
Ati anasema askari wa Tanganyika wliingia kutawala Zanzibar 1957 na hawajatoka huko hadi leo.
Huo ni ujinga mkubwa wa kutojua historia ya Zanzibar.

Inaelekea hajui ubaguzi uliokuwepo huko kabla ya Mapinduzi.
Hajui ghiliba za ZPPP na ZNP kupokonya ushindi wa ASP katika kura.
Na hajui ni kw vipi mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yalitokea.
Lissu anajaribu kuwarudisha waarabu kwa mgongo wa CHADEMA na ACT.
Kwa vile haifahamu Zanzibar, asubiri moto wake.

Really? Really?

Angeandika Mzanzibari kukosoa alichokisema Tundu Lissu wakati ana narrate historia hii, ningeelewa na kumsikiliza....

Lakini wewe msukuma mwenzangu wa Bariadi ambaye nawe umesoma historia vitabuni tu tena kwa viwango vya chini kabisa, unapata wapi guts za kumkosoa Tundu Lissu ambaye by all measurements jamaa yuko deep kwelikweli....??
 
Nasikitika kusema Lissu ni MUONGO na MCHONGANISHI.
Hajui historia ya Zanzibar na hajawahi kukaa huko kuijua zaidi ya kuisoma vitabuni.
Ati anasema askari wa Tanganyika wliingia kutawala Zanzibar 1957 na hawajatoka huko hadi leo.
Huo ni ujinga mkubwa wa kutojua historia ya Zanzibar.

Inaelekea hajui ubaguzi uliokuwepo huko kabla ya Mapinduzi.
Hajui ghiliba za ZPPP na ZNP kupokonya ushindi wa ASP katika kura.
Na hajui ni kw vipi mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yalitokea.
Lissu anajaribu kuwarudisha waarabu kwa mgongo wa CHADEMA na ACT.
Kwa vile haifahamu Zanzibar, asubiri moto wake.

..nadhani unachoandika ni tofauti na alichozungumza TL.

..kwanza, alisema kwamba waTanganyika walianza kuingilia siasa za Znz tangu mwaka 1957.

..Hapo alikuwa anazungumzia ushawishi wa Tanu ktk chama cha ASP. Suala hilo halina ubishi.

..pili, alisema majeshi ya Tanganyika yalipelekwa Zanzibar mara[alisema siku 3] baada ya Mapinduzi.

..labda hapa unaweza kumkosoa kidogo, nadhani waliokwenda Zanzibar walikuwa ni Polisi, siyo Tanganyika Rifles.

..Ni kweli kulikuwa na figisu-figisu na hujuma za uchaguzi dhidi ya ASP zilizopelekea kutokea Mapinduzi.

..Pia kulikuwa na ubaguzi ktk jamii ya Znz, lakini usisahau kwamba ASP maana yake ni Afro Shirazi Party.

..Dhuluma na figisu-figisu walizokuwa wakifanyiwa ASP na kusababisha mapinduzi ya 1964 hazina tofauti na uhuni ambao CCM wamekuwa wakiwafanyia CUF tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe Tanzania.

..Mwisho, Wazanzibari ni watu waliochanganya damu. Sasa kuleta habari ya Waarabu vs Waafrika ni kukosa busara.

..Na ukimuangalia Hussein Mwinyi anaonekana ni Muarabu kuliko hata Maalim Seif. Je, ina maana CCM wanarudisha Uarabu Zanzibar?
 
Lissu anaongea kama mwanaharakati,anatafuta sifa,si kiongozi makini. Anapanda chuki ndani ya mioyo ya Wazanzibari,,sio mtu wa kujenga umoja... Muungano ni tunu yetu kama Watanzania,,eti Karume alilazimishwa,,sijui kama anao ushahidi.

Hakuna UMOJA katikati ya UONGO na ULAGHAI....

Hakuna AMANI na UPENDO katikati ya mahusiano yaliyojengwa katika msingi wa UONGO na ULAGHAI....

Kama unabisha OA au OLEWA na MKE au MUME mwongo, asiye MKWELI kisha muanze kuishi pamoja uone kama mahusiano yetu yatadumu hata ndani ya mwaka mmoja....!!

Ndivyo ambavyo muungano wa nchi hizi mbili (TANGANYIKA & ZANZIBAR) jinsi ulivyo....

Ungejaribu kushukuru japo kinafiki tu maana anachofanya Tundu Lissu ni kufungua UFAHAMU wa watu wa Zanzibar ili waujue UKWELI na msingi wa MUUNGANO wao na nchi ya Tanganyika....

Wakishaujua UKWELI, waumue wao wenyewe aidha watengeneze MUUNGANO wao upya uliojengwa ktk msingi wa UKWELI, UWAZI na HAKI ama waendelee kuishi katikati ya ULAGHAI na UDANGANYIFU wa koloni la Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar kwa koti la Muungano...!!
 
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?

Ndiyo maana ya kauli mbiu ya UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU....

Na hii itajengwa katika mfumo wa UTAWALA wa UWAZI na HAKI na kamwe siyo UONGO na ULAGHAI....

Muungano uliojengwa ktk msingi wa UONGO na ULAGHAI una faida gani kwa watu?

Amesema, akichaguliwa kuwa Rais wa JMT, immediately atafumua mfumo wa utawala huu wa kilaghai na UONGO kwa kuandika katiba mpya....

Ishu ya Muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR, itajadiliwa upya na kuamuliwa na wananchi wa pande zote mbili za Muungano aidha uendelee kuwepo na kwa mfumo gani....

Pia wanaweza kuamua ufe, na hakuna tatizo lolote iwapo wataamua hivyo....

Na kwani kuna ubaya gani kama watu wenyewe wataamua hivyo? Utawalazimisha watu kuungana kama hawataki?
 
Back
Top Bottom