Lissu ni mzalendo no 1.Kwakweli huyu ndugu nilijua ana nafuu kidogo Kimberly hafai kabisa. Hata Marekani ujokaribu kuvunja muungano, hakuna atakayekuvumilia. Lissu sio mzalendo
Waliompiga hawajulikqni, wewe unafanyaje hitimisho?Mlitaka awachekee hata baada ya kummiminia marisasi kama mnamuua tembo au kiboko mharibifu wa mazao?
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo rahisi kwa MATAGA kujua ni ya "kiongozi" kweli kwa vile amekamata kunako hadi ufahamu umetoweka!Ila ndugu hebu tuache ushabiki, Yale aliyotamka ni maneno ya kiongozi kweli?
Huyu ada yake ameeitendea hakiSijui kama mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu..
Kwani hata wewe huwajui?Waliompiga hawajulikqni, wewe unafanyaje hitimisho?
Kabisa.Nina hakika wengi wanao comment hapa hawajaisikiliza hiyo clip hapo wamesoma heading tu basi.
Kwa kweli mhe Tundu Lissu huku anakokwenda sasa kunazidi kuwajengea watu fikira fulani hasi dhidi yake.
Uwongo mkubwa sera ya Chadema kuhusu Muungano iko wazi, hawataki kuuvunja Muungano ila watu wataulizwa wanataka mfumo gani wa Muungano kama ilivyokuwa kwa tume ya jaji Warioba. Muungano umekuwa unalalamikiwa sana hivyo lazima muafaka upatikane.Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?...
Mkuu sio wewe tu hata mimi nimeshangaa sana, tatizo kubwa ninalo liona hapa ni kwamba Mhe. Tundu Lissu anataka kutumia hoja yoyote ambayo anaamini inaweza kumpa point dhidi ya ccm bila kujali wala kupima matokeo ya anachokihubiri.Bara na visiwani tumeshakuwa ndugu. Tuna muingiliano wa damu na kijamii.
Muungano nao ni muhimu sana kwa usalama wa pande zote. Lissu analeta mentality za kikoloni kwani anataka turudi kwenye kifungo cha mipaka ya kikoloni kwasababu za kisiasa...
Uongo upi? Umeiangalia na kuisikiliza hiyo tweet ya Ngurumo niloyoituma?Uwongo mkubwa sera ya Chadema kuhusu Muungano iko wazi, hawataki kuuvunja Muungano ila watu wataulizwa wanataka mfumo gani wa Muungano kama ilivyokuwa kwa tume ya jaji Warioba. Muungano umekuwa unalalamikiwa sana hivyo lazima muafaka upatikane.
Kuna kitu fulani hujakijua humu JF mkuu naamini ukishakijua huto shangaa tena.Ninashangaa mods kuunganisha thread yangi na ya Kituturu. Yeye amemponda Magufuli mimi nimeonesha uhaini wa Lissu. Wapi wapi mambo haya mawili?
Itakuwa ulikuwa domozege, yeye anakusubiri urushe ndoana wewe umelemaa [emoji23] [emoji23]Duh, huo msemo umenikumbusha looong time, nilimkosa demu akaniambia ,,umechelewa“ , noma sana, ...
Tatizo la Mgombea WAO anaongea vitu ambavyo hakupaswa kuongea..Wazanzibar hawatakiwi kujua Historia yao. Wanatakiwa kuwepo kama walivyo sasa. Tuwaamulie nani anawafaa kuwatawala na sio wao wenyewe..Tatizo la TL anaharibu kabisaa yaani Sio vyema kwa kweli..🙁🙁Hata ningekuwa wa Lesotho, nimeuliza swali muhimu Sana kwa mustakabali wa Tanzania. Huyo mgombea wenu anatakiwa aungane na wanaharakati wenzie. Amethibitisha kuwa hana sifa hata robo za kuwa mkui wa nchi
Nadhani nimeshaanza kukijua, sio mara ya kwanza. Threads zangu recently zote zinainganishwa kwengineKuna kitu fulani hujakijua humu JF mkuu naamini ukishakijua huto shangaa tena.
Si kwa sababu ya chuki binafsi tuu dhidi yake huna lolote. Uwezo wake mkubwa sana unajulikana ila ninyi na mabosi wenu mnamuogopa kama alivyosemaMimi Ni CCM kindaki daki, Ila kwenye hili niwe muwazi. Nimeweka uchama pembeni, nikiwa Kama mtanzania nasema kwa dhati ya moyo wangu, Tundu Lissu hastahili kuwa Rais wetu