Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Athibitishe kuwa Karume alilazimishwa kusaini hati ya MuunganoTatizo la Mgombea WAO anaongea vitu ambavyo hakupaswa kuongea..Wazanzibar hawatakiwi kujua Historia yao. Wanatakiwa kuwepo kama walivyo sasa. Tuwaamulie nani anawafaa kuwatawala na sio wao wenyewe..Tatizo la TL anaharibu kabisaa yaani Sio vyema kwa kweli..🙁🙁
[emoji23] [emoji23] Mnaogopa atawafunga kwa madhambi yenu hamna lolote [emoji23] [emoji23]Ni hafai hafai
Yuko radhi kuvunja taifa kwa minajili ya madaraka
Kuwa na uwezo na Uzalendo ni vitu viwili tofautiSi kwa sababu ya chuki binafsi tuu dhidi yake huna lolote. Uwezo wake mkubwa sana unajulikana ila ninyi na mabosi wenu mnamuogopa kama alivyosema mzee Warioba kwamba [emoji116]... View attachment 1563086
Hoja ya kipuuzi na ambayo imeshapitwa na wakati kwani mambo ya vita baridi hayapo tena, sasa hivi ni vita ya kiuchumi. Punguzeni kukaririshwa na vohoja vya kijinga.Kwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndo tayari ipo hivyo.
Tafute clip yake kwenye bunge la katiba utajua alisema nini kuhusu masuala ya Muungano. Tatizo lenu hamtaki kusoma vitabu wala kufuatilia masuala mbalimbali, ninyi mmezoea kuambiwa kila kitu wakati mna akili timamu.Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.
Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
Nafahamu kila kitu, shaka toa.Tafute clip yake kwenye bunge la katiba utajua alisema nini kuhusu masuala ya Muungano. Tatizo lenu hamtaki kusoma vitabu wala kufuatilia masuala mbalimbali, ninyi mmezoea kuambiwa kila kitu wakati mna akili timamu.
Huo muungano wanao neemeka nao ni viongozi wachache acha uvunjikeHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Jionee mwenyewe
Kusema uwongo hapa unapata faida gani? Mtazamo wa wazanzibari kuhusu Muungano upo very clear kwenye maoni yao kwenye tume ya jaji Warioba, tafuta rasimu uisome ndo urudi hapa.Historia ya watu wa KLM/ Kanda ya kaskazini inajulikana? Unajua Base on history hakuna kitu kinaitwa Tanzania.
Well hii haiondoi ukweli kuwa Tl ana akili, akili nyingi...
Anayekoleza na kufurahia Muungano wetu usiwepo badala ya hoja za nini kifanyike, huyo ni wa kupuuzwa na huenda akili yake iko tumboni
Maelezo yako yanaonyesha jinsi usivyo na uelewa wa maswala ya mipaka na uhusiano wake kiuchumi, kisiasa na hata katika vita baridi au vita vya uchumi baina ya mataifa.Hoja ya kipuuzi na ambayo imeshapitwa na wakati kwani mambo ya vita baridi hayapo tena, sasa hivi ni vita ya kiuchumi. Punguzeni kukaririshwa na vohoja vya kijinga.
Sawa kamandaKusema uwongo hapa unapata faida gani? Mtazamo wa wazanzibari kuhusu Muungano upo very clear kwenye maoni yao kwenye tume ya jaji Warioba, tafuta rasimu uisome ndo urudi hapa.
UmemalizaHistoria ya watu wa KLM/ Kanda ya kaskazini inajulikana? Unajua Base on history hakuna kitu kinaitwa Tanzania.
Well hii haiondoi ukweli kuwa Tl ana akili, akili nyingi...
Kwanini uvunjike?? Kama kuna uwezekano wa kuboreshwa na ikawa hivyo, pande zote mbili iwe na faida sawa sawa, Zanzibar itaendelea sana sana tena sana kwa sababu nyingi tu... mmojawapo tu ni gawio ya mapato; Ikitendewa haki ipasavyo Zanzibar uchumi wake itapaa maradufu...Huo muungano wanao neemeka nao ni viongozi wachache acha uvunjike
CCM kindakindaki ndo nn? mwaka huu hata shetani akisimama tutampa kura kuliko binadamu mwenye ndimi mbiliMimi Ni CCM kindaki daki, Ila kwenye hili niwe muwazi. Nimeweka uchama pembeni, nikiwa Kama mtanzania nasema kwa dhati ya moyo wangu, Tundu Lissu hastahili kuwa Rais wetu
Upinzani hata kama hutaki muungano ukisema huu muungano w serikali mbili naukubali imo ushinde ukishinda ndio uongelee kuvunja wakashindwa nini? Kwa nini ukomalie kitu anachojua ukichokonoa kitakufanya ashindwe?Uwongo mkubwa sera ya Chadema kuhusu Muungano iko wazi, hawataki kuuvunja Muungano ila watu wataulizwa wanataka mfumo gani wa Muungano kama ilivyokuwa kwa tume ya jaji Warioba. Muungano umekuwa unalalamikiwa sana hivyo lazima muafaka upatikane.
Wewe ukiambiwa uthibitishe Hayati Karume hakulazimishwa kusaini Hati ya Muungano utathibitisha? Nincompoop!Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.
Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.