Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Wazanzibar wanaijua historia yao kwa kuiishi. TL amesoma hivyo asijifanye much knowTatizo la Mgombea WAO anaongea vitu ambavyo hakupaswa kuongea..Wazanzibar hawatakiwi kujua Historia yao. Wanatakiwa kuwepo kama walivyo sasa. Tuwaamulie nani anawafaa kuwatawala na sio wao wenyewe..Tatizo la TL anaharibu kabisaa yaani Sio vyema kwa kweli..🙁🙁
Kama Mwenge umewahi kuzuiwa kukimbizwa basi ya Muungano pia yanawezekana. By the way, nani ameongelea habari za kuuvunja Muungano?Hakuna aliyeyejaribu kuvunja muungano au kuungana na wavunja muungano huu uliopo kama ulivyo sasa aliyefaniiwa kushika uraisi iwe wa muungano au wa Zanzibar awe wa CCM au upinzani...
Hao wenye hisia za kihalifu watakujibu nani ameongelea kuvunja muungano. Ogopa maneno ya kweli, yanauma kuliko ncha ya sindano.Kana Mwenge umewahi kuzuiwa kukimbizwa basi ya Muungano pia yanawezekana. By the way, nani ameongelea habari za kuuvunja Muungano?
Duhh Lissu kapiga hotuba mujarabu
Ingependeza kama tume ya uchaguzi ingeweka na kigezo cha lazima kuwa ni muhimu wagombea wote wafanye mdaharo tena kwa lugha ya kimataifa.Huyu Lisu yuko vizuri kichwani, exceptionally superb! Sijawahi ona kabisa! Yuko vizuri!
Wewe mbona unatufanyia vituko leo, unatoa post alafu una ji quote?
Umeongea kwa level ya chini Sana. Yeye aliyetuhumu ndio mwenye wajibu wa kuthibitishaWewe ukiambiwa uthibitishe Hayati Karume hakulazimishwa kusaini Hati ya Muungano utathibitisha? Nincompoop!
Kuna shida gani?Wewe mbona unatufanyia vituko leo, unatoa post alafu una ji quote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niseme wazi mimi ni mmoja ambaye Historia sekondari nikioata D na hadi Leo huwa nalalamika kuwa baraza la mitihani lilinipendelea ilitakiwa wanipe F, Historia mimi siipendi ni somo la kuongelea marehemuYehodaya, badala ya kutumia jukwaa kama alilolitumia yeye kumwaga sumu, mnaunguruma humu, sijui mnawasaidiaje waachane na huyo mtumwa wa historia.
Hivyo hivyo hata kama ccm itaendelea kuitawala Zanzibar haitabadili maisha yao na kuwaondolea shida na mahitaji yao, bali wimbo utaendelea kuwa ule ule tu.Historia ya watu wa KLM/ Kanda ya kaskazini inajulikana? Unajua Base on history hakuna kitu kinaitwa Tanzania.
Well hii haiondoi ukweli kuwa Tl ana akili, akili nyingi...
Ingependeza kama tume ya uchaguzi ingeweka na kigezo cha lazima kuwa ni muhimu wagombea wote wafanye mdaharo tena kwa lugha ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani Msumari, Mleta mada, hoja yako ya msingi ni ipi? Kama muungano huo hauna manufaa yoyote wa nini kwenda nao?
Kaingia mitiniAmani Msumari,
umesoma rasimu ya warioba?
Muungano ni tatizo la KISIASA.Maelezo yako yanaonyesha jinsi usivyo na uelewa wa maswala ya mipaka na uhusiano wake kiuchumi, kisiasa na hata katika vita baridi au vita vya uchumi baina ya mataifa. Weka ushabiki pembeni kisha tafuta hiyo elimu. Tl yeye anajua anachofanya na anakifanya vizuri maana ni tishio na haijajulikana atadhibitiwa vipi, sijui ww kama unajua.