Bado unauita "MUUNGANO"?Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Naomba MUNGU usiwe unerithisha watoto waako ukilaza huu!Kuuvunja muungano ? Anahoji muungano au anakusudia kuuvunja ? Kuhoji kitu ni sawa na kufuta kitu ? Come on men . . . .
Ataunda muungano ,huu uliopo ni uvamiziHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Lissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....
Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema
" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."
Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....
Tazama 👇
View attachment 1562723
Ndivyo mnavyoambizana Lumumba ??Kwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki Zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndio tayari ipo hivyo.
Lissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.
Kwa kauli yake hiyo anawachonganisha na kugombanisha Watanganyika na Wazanzibari ambao ndio kwa pamoja wanaunda Tanzania ambayo yeye anajinadi achaguliwe kuiongoza....Nadhani hata hajui kama Sasa anataka urais wa Tanganyika au wa Tanzania?
Rais kama huyu ni wa kumwogopa kama ukoma kwani ataiweka nchi reheni na atakuwa anachochea mifarakano ya kijamii kila uchao kwa kukubali kutumiwa na mabeberu, wanaofikia dau lake. Bila shaka Mola atatunusuru na majaribu ya dumbwana hili.
Mabeberu yako kwenye mafia ya CCMLissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.
Kwa kauli yake hiyo anawachonganisha na kugombanisha Watanganyika na Wazanzibari ambao ndio kwa pamoja wanaunda Tanzania ambayo yeye anajinadi achaguliwe kuiongoza....Nadhani hata hajui kama Sasa anataka urais wa Tanganyika au wa Tanzania?
Rais kama huyu ni wa kumwogopa kama ukoma kwani ataiweka nchi reheni na atakuwa anachochea mifarakano ya kijamii kila uchao kwa kukubali kutumiwa na mabeberu, wanaofikia dau lake. Bila shaka Mola atatunusuru na majaribu ya dumbwana hili.
Ulishawahi tazama video hii ya padre lukuvi?Bara na visiwani tumeshakuwa ndugu. Tuna muingiliano wa damu na kijamii.
Muungano nao ni muhimu sana kwa usalama wa pande zote. Lissu analeta mentality za kikoloni kwani anataka turudi kwenye kifungo cha mipaka ya kikoloni kwasababu za kisiasa.
Changamoto za Muungano zishughulikiwe kwa umakini na ustaarabu wa halinya juu
Amenishangaza Sana huyu mwamba
Ukiwa msomi ukubali ukweli..msomi yeyote hutumia rejea atamkapo kitu nukuu.Lissu ametaja vitabu alivosoma ambavyo viko kweny MAKTABA nyingi. Kosa lake nini hapa?Jana ametoa elimu maridhawa ya asili ya Mungano na hatimae ..Zanzibar iko wapi na inaenda wapi...apingwe kwa Hoja sio kwa matusi hapana!!Bara na visiwani tumeshakuwa ndugu. Tuna muingiliano wa damu na kijamii.
Muungano nao ni muhimu sana kwa usalama wa pande zote. Lissu analeta mentality za kikoloni kwani anataka turudi kwenye kifungo cha mipaka ya kikoloni kwasababu za kisiasa.
Changamoto za Muungano zishughulikiwe kwa umakini na ustaarabu wa halinya juu
Amenishangaza Sana huyu mwamba
Kweli kabisaa..ila sasa hawa wanataka waanze kuishi katika historia yao..ni mbaya sana aiseeWazanzibar wanaijua historia yao kwa kuiishi. TL amesoma hivyo asijifanye much know
Nenda sasa mahakamani ili aje kuthibitisha.Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.
Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
Lakini sio kwa staili hiyo anayoitumia sasaAtaunda muungano ,huu uliopo ni uvamizi
Changamoto za Muungano zinatakiwa zishughulikiwe kistaarabu sio kuwajaza watu maneno ya chuki na uongoUwepo nd kudumu kwa muungano hakuwezikuenelea kuwa kwa matumizi ya majeshi na dhuluma na kukandamiza baadhi ya raia. Hiyo haiwezi kudumisha muungano. Inabidi kuuendesha kwa maridhiano ya nchi zote. Ni hatari sana kwetu sote kuendelea na ya sasa.
Ni hafai hafai
Yuko radhi kuvunja taifa kwa minajili ya madaraka
Kabisa. Lissu katiririka sana kuhusu historia ya muungano na mustakabali wake. Swali linakuja kwake, je itoke aupate uraisi, atauvunja?Hotuba hii hotuba bora kabisa kazi kwenu Wazanzibar.