Mhe. Tundu Lissu, tunakupenda sana na tunaendelea kukuombea hadi mwisho wa uchaguzi huu uendelee kuwa na afya njema maana tunatambua pasipo shaka yoyote huwezi kumshinda JPM hata utumie propaganda gani. Ushauri wangu jikite kwenye kunadi sera zako ili angalau chama chako kipate walau viti viwili vitatu vya ubunge.