Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Mhe. Tundu Lissu, tunakupenda sana na tunaendelea kukuombea hadi mwisho wa uchaguzi huu uendelee kuwa na afya njema maana tunatambua pasipo shaka yoyote huwezi kumshinda JPM hata utumie propaganda gani. Ushauri wangu jikite kwenye kunadi sera zako ili angalau chama chako kipate walau viti viwili vitatu vya ubunge.
 
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?

Uwepo nd kudumu kwa muungano hakuwezikuenelea kuwa kwa matumizi ya majeshi na dhuluma na kukandamiza baadhi ya raia. Hiyo haiwezi kudumisha muungano. Inabidi kuuendesha kwa maridhiano ya nchi zote. Ni hatari sana kwetu sote kuendelea na ya sasa.
 
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu.....

Ni wazi uwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema

" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."

Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa a korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake....

Tazama 👇
View attachment 1562723
Lissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.

Kwa kauli yake hiyo anawachonganisha na kugombanisha Watanganyika na Wazanzibari ambao ndio kwa pamoja wanaunda Tanzania ambayo yeye anajinadi achaguliwe kuiongoza....Nadhani hata hajui kama Sasa anataka urais wa Tanganyika au wa Tanzania?

Rais kama huyu ni wa kumwogopa kama ukoma kwani ataiweka nchi reheni na atakuwa anachochea mifarakano ya kijamii kila uchao kwa kukubali kutumiwa na mabeberu, wanaofikia dau lake. Bila shaka Mola atatunusuru na majaribu ya dumbwana hili.
 
Kwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki Zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndio tayari ipo hivyo.
Ndivyo mnavyoambizana Lumumba ??
 
Lissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.

Kwa kauli yake hiyo anawachonganisha na kugombanisha Watanganyika na Wazanzibari ambao ndio kwa pamoja wanaunda Tanzania ambayo yeye anajinadi achaguliwe kuiongoza....Nadhani hata hajui kama Sasa anataka urais wa Tanganyika au wa Tanzania?

Rais kama huyu ni wa kumwogopa kama ukoma kwani ataiweka nchi reheni na atakuwa anachochea mifarakano ya kijamii kila uchao kwa kukubali kutumiwa na mabeberu, wanaofikia dau lake. Bila shaka Mola atatunusuru na majaribu ya dumbwana hili.

Ulitaka adanganye kama Kada wa CCM?????
 
Mabeberu yako kwenye mafia ya CCM
 
Bara na visiwani tumeshakuwa ndugu. Tuna muingiliano wa damu na kijamii.

Muungano nao ni muhimu sana kwa usalama wa pande zote. Lissu analeta mentality za kikoloni kwani anataka turudi kwenye kifungo cha mipaka ya kikoloni kwasababu za kisiasa.

Changamoto za Muungano zishughulikiwe kwa umakini na ustaarabu wa halinya juu

Amenishangaza Sana huyu mwamba
Ulishawahi tazama video hii ya padre lukuvi?

Bara na visiwani tumeshakuwa ndugu. Tuna muingiliano wa damu na kijamii.

Muungano nao ni muhimu sana kwa usalama wa pande zote. Lissu analeta mentality za kikoloni kwani anataka turudi kwenye kifungo cha mipaka ya kikoloni kwasababu za kisiasa.

Changamoto za Muungano zishughulikiwe kwa umakini na ustaarabu wa halinya juu

Amenishangaza Sana huyu mwamba
Ukiwa msomi ukubali ukweli..msomi yeyote hutumia rejea atamkapo kitu nukuu.Lissu ametaja vitabu alivosoma ambavyo viko kweny MAKTABA nyingi. Kosa lake nini hapa?Jana ametoa elimu maridhawa ya asili ya Mungano na hatimae ..Zanzibar iko wapi na inaenda wapi...apingwe kwa Hoja sio kwa matusi hapana!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.

Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
Nenda sasa mahakamani ili aje kuthibitisha.
 
Uwepo nd kudumu kwa muungano hakuwezikuenelea kuwa kwa matumizi ya majeshi na dhuluma na kukandamiza baadhi ya raia. Hiyo haiwezi kudumisha muungano. Inabidi kuuendesha kwa maridhiano ya nchi zote. Ni hatari sana kwetu sote kuendelea na ya sasa.
Changamoto za Muungano zinatakiwa zishughulikiwe kistaarabu sio kuwajaza watu maneno ya chuki na uongo
 
Ni hafai hafai
Yuko radhi kuvunja taifa kwa minajili ya madaraka

Wakati fulani ALINIAMINISHA kuwa Wazanzibari wanatuibia sisi Wadanganyika, baada ya U-Turn ile nikaamua kutomsikiliza tena. Anataka kutumia chochote kilicho mbele yake kupata madaraka! HAFAI!. Ngoja nitafute ile Clip miaka yake ya mwanzo Mjengoni.
 
Hotuba hii hotuba bora kabisa kazi kwenu Wazanzibar.
Kabisa. Lissu katiririka sana kuhusu historia ya muungano na mustakabali wake. Swali linakuja kwake, je itoke aupate uraisi, atauvunja?
 
Back
Top Bottom