Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli nimemsikiliza sana sana sanaNi hafai hafai
Yuko radhi kuvunja taifa kwa minajili ya madaraka
Ni hafai kabisaaaMimi Ni CCM kindaki daki, Ila kwenye hili niwe muwazi. Nimeweka uchama pembeni, nikiwa Kama mtanzania nasema kwa dhati ya moyo wangu, Tundu Lissu hastahili kuwa Rais wetu
KabisaNi hafai kabisaaa
KabisaKwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndo tayari ipo hivyo.
Muungano ni muhimu saana, Tanganyika na Zanzibar zikitengana usalama wa kila upande utakua mashakani, na mizozo ndo itaibuka mingiKwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndo tayari ipo hivyo.
Naona misumari inazidi kuwaumiza, hapo bado sana maana ngoma ndiyo bado speed ipo 20/kphHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Jionee mwenyewe
Chai aipate wapi? Fuatilia utafiti wa Twaweza ndiyo utapata jibu kamili la wapenzi wa ccmKwa hiyo umesha kunywa chai
Swissme
CCM versus Opposition: Political Lessons to LearnTuliona hili nikaandika huu uzi
CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn
Hakachelewa mkuu maana ni juzi kiongozi wao alipo toa agizo kwao... UVCCM ... Kuanza kumshambulia LissuUmechelewa