GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
swali; je hiyo ni dhamira mbaya? nioneshe japo dhamira moja nzuri ya ccm kwenye muunganoMuungwana ni vitendo. Huyo bwana anaonesha wazi kuwa na dhamira hiyo mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali; je hiyo ni dhamira mbaya? nioneshe japo dhamira moja nzuri ya ccm kwenye muunganoMuungwana ni vitendo. Huyo bwana anaonesha wazi kuwa na dhamira hiyo mbaya
Nilishatoa majibu, soma komenti"Very sensitive" ki vipi?
FAFANUA.
Kwani Muungano ni kitu gani ?Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Sio upuuzi na wewe unajua ni kweli nisemacho. We unafikiri kikinuka Lissu atakimbilia Ikungi? Big NO, mzee atasepa na familia yake Ubelgiji, kazi atatuachia Mimi na wewe na ndugu zetuWatz wa leo sio wa 2015 kuaminishwa upuuzi kama huu
Huko umemfikisha mbali sana,hata kuiona hajawahi. Hawa masikini misukule ya mbogamboga ni walinda matumbo ya mabosi wao tu.
Baada ya kuteuliwa Mwinyi Kama mgombea , Kuna mjumbe wa Zanzibar alitoka mkutano mkuu akiwa analiaNi ngumu sana kwa JPM kwenda kuzima moto huu, kwa sababu hata ndani ya chama wanajua masuala ya Muungano huwa yanaleta msuguano sana. Unakumbuka mjumbe wa bunge la Muungano toka Zenji jinsi alivyotetea maslahi yao na kutimuliwa bungeni?
Muuliza swali ndiye anayeona kuwa swali lake ni muhimu sana!!Hata ningekuwa wa Lesotho, nimeuliza swali muhimu Sana kwa mustakabali wa Tanzania. Huyo mgombea wenu anatakiwa aungane na wanaharakati wenzie. Amethibitisha kuwa hana sifa hata robo za kuwa mkui wa nchi
Misukule imeambiwa ijibu hoja,wao badala ya kuelewa hoja,wanasikiliza kwa ajili ya kujibu badala ya kuelewa...tatizo lenu ccm huwa hamumsikiliza kwa umakini Tundu Lissu.
..mnamjibu vitu visivyokwepo, na matokeo yake mnampaisha.
..TL amesema msimamo wake ni SERIKALI TATU.
..na hayo pia ni mapendekezo ya tume ya Jaji Warioba.
..Tume ya Warioba ilikuwa hata na wajumbe waZanzibari wasioutaka muungano, lakini waliweza ku-compromise na kupendekeza serikali 3.
CCM kindakindaki ndio wale wanaofanya usafi na kusukuma mafile pale Lumumba na White House. Wao wakiambiwa wafanye hiki au kile kwa ajili ya chama chao,wanatenda kama "headless chicken".CCM kindakindaki ndo nn? mwaka huu hata shetani akisimama tutampa kura kuliko binadamu mwenye ndimi mbili
Residentura,Huko umemfikisha mbali sana,hata kuiona hajawahi. Hawa masikini misukule ya mbogamboga ni walinda matumbo ya mabosi wao tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muungano unanyanganya Uhuru wa watu ni muungano gani,Huyu anataka kuuboresha uwe bora zaidi kwa kila pande ya muunganoHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Rasmu ya pili ya katiba inaeleza nini kifanyike mkuu.we are so sorry if huwezi kujisomeaAnayekoleza na kufurahia Muungano wetu usiwepo badala ya hoja za nini kifanyike, huyo ni wa kupuuzwa na huenda akili yake iko tumboni
Muuliza swali ndiye anayeona kuwa swali lake ni muhimu sana!!
Maajabu haya. Kilaza anapota kuonekana mbele ya jamii kuwa yeye yupo vizuri kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikumbuka sana hio scenario bro. Yule ni mwakiishi halisi wa hisia za Wazenji. Ndio sababu baada ya Mwinyi kuteuliwa, zile amsha amsha hazikuwepo kabisa pale Dodoma, kwa sababu wenye nchi yao walitaka aidha awe Mbarawa ama Nahodha. The same kwa yule mwanasheria wa bunge la katiba aliyepingana na msimamo wa serikali yake.Baada ya kuteuliwa Mwinyi Kama mgombea , Kuna mjumbe wa Zanzibar alitoka mkutano mkuu akiwa analia
Tukiondoa uvyama! To be honest, this should not be an agenda to pray for votes through provocation and to show the way for Zanzibaris to break our union! Mkuu, hili halina Afya hata kidogo, halina manufaa Kwa Vyama pinzani Wala Kwa CCM na Chama chochoteRasmu ya pili ya katiba inaeleza nini kifanyike mkuu.we are so sorry if huwezi kujisomea
Labda kwako ww mtanganyika ndio bora muungano,ila kwa mzanzibar bora zanzibar kwanza.Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Kaongea ukweli mchungu na huu ukweli utabaki kuwa ukweli milele.Lissu anazidi kujipotezea sifa na uhalali wa kuwa Rais wa Tanzania.
Kwa kauli yake hiyo anawachonganisha na kugombanisha Watanganyika na Wazanzibari ambao ndio kwa pamoja wanaunda Tanzania ambayo yeye anajinadi achaguliwe kuiongoza....Nadhani hata hajui kama Sasa anataka urais wa Tanganyika au wa Tanzania?
Rais kama huyu ni wa kumwogopa kama ukoma kwani ataiweka nchi reheni na atakuwa anachochea mifarakano ya kijamii kila uchao kwa kukubali kutumiwa na mabeberu, wanaofikia dau lake. Bila shaka Mola atatunusuru na majaribu ya dumbwana hili.