Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen!Najiunga na wewe kwenye kuikataa kwa jina la yesu.. Amen
Sasa huu mchango wako ndio nini kama sio matapishi?Mimi naongelea suala la usalama wa abiria, wewe unaongelea upya wa boti? Wacha huyo aliyekuwa na maradhi ya akili, kwa ile barrier, hata ugomvi tu baina ya abiria hakuna aliye salama mle ndani. Hatua za muhimu zinahitajika ili kulinda maisha ya abiria. Usitetee utumbo.Utumbo mtupu!
Hiyo boti ni mpya na imekidhi masuala yote ya usalama wa abiria, na ndio maana ikapewa leseni ya kusafirisha abiria.
Awali ya yote umeshawahi kupanda boti hiyo? Inaitwa Zanz fast ferry #3.Sasa huu mchango wako ndio nini kama sio matapishi?Mimi naongelea suala la usalama wa abiria, wewe unaongelea upya wa boti? Wacha huyo aliyekuwa na maradhi ya akili, kwa ile barrier, hata ugomvi tu baina ya abiria hakuna aliye salama mle ndani. Hatua za muhimu zinahitajika ili kulinda maisha ya abiria. Usitetee utumbo.
Huyu dogo ni gaidi (Muislam)? Huyo kama ni muislam atakuwa tu katupiwa jini na wenzake wanaotaka afunge kwa lazima yeye anakataa.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi wakati Boti hiyo ikitokea Pemba ilipofika eneo la Fungu Mayale ndipo kijana huyo alipojirusha.
Boti hiyo ilizunguka maeneo hayo mara tatu kwaajili ya kufanya doria ya kumtafuta lakini haikufanikiwa kumuona, pia Kikosi cha KMKM kilifanya juhudi za kumtafuta lakini hakuonekana.
ANGALIA VIDEO
View attachment 2879455
View attachment 2879456
Mwanzo uliandika "lazima upepesuke", ndio nikakujibu vile, naona hapa umebadilika kidogo kuwa "wimbi la siku hiyo"
Ikiwa ulipo bado unapumua huwezi kushauri mtu sababu ni kitu hata wewe unaweza ukafanya endelea kuomba udumu ktk utulivu unaohisi unao.Vijana Mpunguzeni Kujiua