Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
Umeandika upupu tu,Ohh Tanzania, ni lini tutabadilika? Yaani kale kaboti kamekaa kama zile gari za abiria za zamani "Chai Maharage." Yaani hakuna kizuizi wala security. Hii kampuni ya usafiri inabidi waangaliwe vizuri kuhusu usalama wa abiria. Bure kabisa.
Halafu kwa nini ushahidi wa tukio umesambaa kwenye Social media hata kabla ya uchunguzi wa vyombo vya usalama. Nani kasamba hizo video. Upande mwingine ni vizuri mlivyofanya kwani zile video zinaonyesha mlicyokuwa hamjali usalama wa abiria wenu......wapuuzi wakubwa.
Kama kuna mtu anaifahamu familia ya huyo kijana, washaurini watafute lawyers wazuri. Hapo lazimwa walipwe hela nzuri sana kwa uzembe wa Shirika hilo la meli. Nina uhakika Kuna lawfirm nyingi ambazo zinaweza kuchukua hii kesi kwa makubaliano ya % kesi ikiisha. Mbuzi kabisa.
Zile Barrier pale hata mtoto wa miaka 5 angeweza kuziruka, sembuse huyo kijana mwenye matatizo ya akili. Nchi ya ajabu sana hii. Mpira wa miguu umewashinda, miundombinu hamna , basi hata kuhakikisha usalama wa hao raia maskini mmeshindwa! Kipi mnaweza nyie?
Kwahiyo mtu akijirusha kwenye dirisha la basi tena likiwa katika mwendo mkali akapoteza maisha, tunaweza kuishitaki kampuni ya mabasi kwa kununua mabasi yenye madirisha ambayo hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuruka!!?