Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

Ohh Tanzania, ni lini tutabadilika? Yaani kale kaboti kamekaa kama zile gari za abiria za zamani "Chai Maharage." Yaani hakuna kizuizi wala security. Hii kampuni ya usafiri inabidi waangaliwe vizuri kuhusu usalama wa abiria. Bure kabisa.

Halafu kwa nini ushahidi wa tukio umesambaa kwenye Social media hata kabla ya uchunguzi wa vyombo vya usalama. Nani kasamba hizo video. Upande mwingine ni vizuri mlivyofanya kwani zile video zinaonyesha mlicyokuwa hamjali usalama wa abiria wenu......wapuuzi wakubwa.

Kama kuna mtu anaifahamu familia ya huyo kijana, washaurini watafute lawyers wazuri. Hapo lazimwa walipwe hela nzuri sana kwa uzembe wa Shirika hilo la meli. Nina uhakika Kuna lawfirm nyingi ambazo zinaweza kuchukua hii kesi kwa makubaliano ya % kesi ikiisha. Mbuzi kabisa.

Zile Barrier pale hata mtoto wa miaka 5 angeweza kuziruka, sembuse huyo kijana mwenye matatizo ya akili. Nchi ya ajabu sana hii. Mpira wa miguu umewashinda, miundombinu hamna , basi hata kuhakikisha usalama wa hao raia maskini mmeshindwa! Kipi mnaweza nyie?
 
Wakuu,

Kuna kitu nime observe kwenye video jamaa akati ananyanyuka kwenye siti ali pepesuka pepesuka so either alikua ametumia kilevi au alikua anaumwa..

Inaumizaa sana japo vijana tunapitia magumu mengi sanaaa ila tusikate tamaa ya maishaa

🙏🙏🙏🙏
Kwenye bot sababu ya mawimbi ukinyanyuka kutembea lazima upepesuke.
 
Mwamba alikuwa na chupa huenda kuna kilevi alikuwa anakunywa hata miondoko yake aliponyanyuka alikuwa anayumba.

Wanasema alikuwa ana matatizo ya akili. Tatizo la afya ya akili ni janga kubwa lililojificha kwenye jamii
Chupa inaweza kuwa ya maji, kwenye bot kupepesuka ni kawaida hasa kukiwa na mawimbi makali.

Considered ndani hakuuzwi alcohol.
 
Uzoefu wangu wa kuogelea ,mtu anapotumbikia kwa kishindo kwanza uzito wake ndio unaamua aende mita kadhaa then kama anajua kuogelea anafanya rejection ya kwenda chini hapo ndio anarudi juu.

Ukitumbukia kama huwezi kuogelea kwa kujipandisha juu kwa utulivu hapo unapanic utaingiwa na maji kweny tundu za mwili ,basi mwili unakuwa mzito kwa kina kile unazidi kwenda chini nina hakika ukifika chini kabisa labda uwe diver au uwe na mtungi wa kutoa support la sivyo unakufa mapema ...Hapo mwili unakuwa mzito baadae kashakufa utapanda juu.

NB: Kina alichodondokea jamaa sio cha kumuua anayejua kuogelea ndani ya nusu saa labda aishiwe na nguvu za kuogelea ...Nimeogelea sana mpaka kukaa lisaa zima kweny maji tena baharini pale labda pawe na mkondo kama nungwi pale ni hatari zaidi.
kwahiyo unawezaje kujirudisha juu bila kupaniki?aise we ni mnoma🙌
 
mental health is real.....kule Facebook kuna wagonjwa wengi wa akili....ukitaka kulifahamu hilo nenda Facebook tafuta group la vyakula vya kitanzania....nafikili hata admins wao ni wagonjwa ila suala la muda tu....
Vipi lile group la CHAMA CHA WAPANGAJI TZ mm naona ndo Lina wagonjwa wa akili wengi zaidi likifuatiwa na group la SINGLE MAMA/SINGLEBABA TAFUTA MCHUMBA MPAKA NDOA
Wamevurugwa sana
 
Ohh Tanzania, ni lini tutabadilika? Yaani kale kaboti kamekaa kama zile gari za abiria za zamani "Chai Maharage." Yaani hakuna kizuizi wala security. Hii kampuni ya usafiri inabidi waangaliwe vizuri kuhusu usalama wa abiria. Bure kabisa.

Halafu kwa nini ushahidi wa tukio umesambaa kwenye Social media hata kabla ya uchunguzi wa vyombo vya usalama. Nani kasamba hizo video. Upande mwingine ni vizuri mlivyofanya kwani zile video zinaonyesha mlicyokuwa hamjali usalama wa abiria wenu......wapuuzi wakubwa.

Kama kuna mtu anaifahamu familia ya huyo kijana, washaurini watafute lawyers wazuri. Hapo lazimwa walipwe hela nzuri sana kwa uzembe wa Shirika hilo la meli. Nina uhakika Kuna lawfirm nyingi ambazo zinaweza kuchukua hii kesi kwa makubaliano ya % kesi ikiisha. Mbuzi kabisa.

Zile Barrier pale hata mtoto wa miaka 5 angeweza kuziruka, sembuse huyo kijana mwenye matatizo ya akili. Nchi ya ajabu sana hii. Mpira wa miguu umewashinda, miundombinu hamna , basi hata kuhakikisha usalama wa hao raia maskini mmeshindwa! Kipi mnaweza nyie?
Utumbo mtupu!

Hiyo boti ni mpya na imekidhi masuala yote ya usalama wa abiria, na ndio maana ikapewa leseni ya kusafirisha abiria.
 
Back
Top Bottom