Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

Utumbo mtupu!

Hiyo boti ni mpya na imekidhi masuala yote ya usalama wa abiria, na ndio maana ikapewa leseni ya kusafirisha abiria.
Sasa huu mchango wako ndio nini kama sio matapishi?Mimi naongelea suala la usalama wa abiria, wewe unaongelea upya wa boti? Wacha huyo aliyekuwa na maradhi ya akili, kwa ile barrier, hata ugomvi tu baina ya abiria hakuna aliye salama mle ndani. Hatua za muhimu zinahitajika ili kulinda maisha ya abiria. Usitetee utumbo.
 
Awali ya yote umeshawahi kupanda boti hiyo? Inaitwa Zanz fast ferry #3.

Kama bado, majibu yako bado yatabaki kuwa ni takataka!

Unapokosoa kitu uwe unakijua. Ila wewe bila shaka yoyote hujui boats ngalawa, mashua wala jahazi...

Bora utulie tu, ushauri wako katika hili umefail mbaya.... Komaa na hayo mabasi ya mikoani...
 
Huyu dogo ni gaidi (Muislam)? Huyo kama ni muislam atakuwa tu katupiwa jini na wenzake wanaotaka afunge kwa lazima yeye anakataa.
 
Sio suala la boti ni suala la wimbi la siku hiyo.

Mrs Besyige hebu saidia mahi.
Mwanzo uliandika "lazima upepesuke", ndio nikakujibu vile, naona hapa umebadilika kidogo kuwa "wimbi la siku hiyo"

Sasa nakwambia tena, hata hapo kwenye "wimbi la siku hiyo" bado athari ya wimbi inakuwa kubwa zaidi kwenye boti ndogo, kuliko kwenye boti kubwa.

Hivyo kama ukipepesuka kwenye boti ndogo, sio lazima upepesuke kwenye boti kubwa kama zile za Azam au Zanzibar One.

Nimesafiri nazo nafahamu hali halisi. Kupepesuka labda uwe mlevi au mgonjwa, vinginevyo mule ndani watu wangekuwa wanagongana tu muda wote wakisimama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Vijana Mpunguzeni Kujiua
Ikiwa ulipo bado unapumua huwezi kushauri mtu sababu ni kitu hata wewe unaweza ukafanya endelea kuomba udumu ktk utulivu unaohisi unao.

2018 kuna jamaa yangu alikuwa anawashangaa sana na kuwa-diss wanaojinyonga kwamba hawaoni ugali ulivyokuwa mtamu siku hiyo tumeachana saa 17:50 jioni saa 21:00 usiku napigiwa simu oya Deo amekula kitanzi,ni vitu vya ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…