GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM ni wapuuzi na hawana lengo lolote zuri na nchi yetu, chuki za 100s zinalazimu kuondoa watu ambao ni wachapakazi na wenye mapenzi mema na nchi?

Ushamba tu, Mpina achukue fomu chama chochote kile, ubunge ni wake, mi shahudi
 
Chinua Achebe ‘Things Fall Apart’

Sipati picha miaka mitano ya awamu ya pili itakuwaje.
 
Nimesikitika sana mpina kuenguliwa lakini hii ya kuwa mbunge kwa miaka ishirini hapo naishiwa pawa.
 
Wananchi wanaongea kwa maneno tofauti, lakini kwa ufupi wanasema bila No Mpina no Election.

Wananchi wanamka taratibu, na wanasema hawataki wanamtandao wawachagulie mbunge. Hawataki nchi itekwe na kikundi cha wanamtandao. Ujumbe huu umfikie Jakaya, RA na Sa100.
 
Mlango mmoja ukifungwa, mingine hufunguliwa!
Mh. Mpina atafute jukwaa mbadala....
 
mh! ya ccm waachie ila sidhani kama wana ubavu wa kugeuza maamuzi ya samia. Kungelikuwa na chadema ningeliwashauri wampe chadema.....
Wawape wale mapandikizi wa CCM, Mpina naye angekuwa mtu wa maana angeenda hata CHAUMA au ACT japo ni matawi ya CCM lakini kuna nafuu kidogo
 
Wananchi wamejikusanya? Mnajua harakati za kisiasa zinavyoendeshwa?
Hii inapaswa kuwa : Wananchi wamekusanywa ...................na blah blah blah!
 
Back
Top Bottom