mh! ya ccm waachie ila sidhani kama wana ubavu wa kugeuza maamuzi ya samia. Kungelikuwa na chadema ningeliwashauri wampe chadema.....Wakuu,
Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge.
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Inapendeza kuona wananchi wanaamka, inapendeza. No kore kueletewa watu kwa mapenzi ya viongoz wakati wananchi wanajua wanamuhitaji naniWakuu,
Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge.
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Wawape wale mapandikizi wa CCM, Mpina naye angekuwa mtu wa maana angeenda hata CHAUMA au ACT japo ni matawi ya CCM lakini kuna nafuu kidogomh! ya ccm waachie ila sidhani kama wana ubavu wa kugeuza maamuzi ya samia. Kungelikuwa na chadema ningeliwashauri wampe chadema.....