DINI ya kweli. Aitegemei miujiza Fake ya uponyaji vilema vipovu kusingizia kufufua wafu.🤣🤣
Binadamu kaumbwa na akili kile Kina mpeleka Shule ni kuongeza maarifa tu
So mnachofanya ni kama kupunguza kasi ya kukua kwanjia za Propaganda !!
lkn Bado wenye macho wenye masikio tunajua kwann UISLAM ndio Dini yenye haki yenye kupinga ubaguzi wa langi zetu
. Yenye sifa za kuitwa Dini ya Mungu.
Zengine sio Dini ni Biashara za watu..
Dini Biashara mtu anakodi eneo na kuazisha kanisa kwa kutegemea Sadaka iyo sio Biashara !!!!
kwa mwenye Akili.
UISLAMU ni nuru kwa walimwengu wote
watu utoa majumba yao iwe misikiti Duniani kote.
Wameshiba iman kwenye nyoyo zao.
Je leo kuna mwenye kubisha kuwa UISLAM ndio Dini yenye kukuwa zaid Ulimwenguni 🕋
wewe chunguza tu wachezaji mipira hata ligi yetu siweki majina hapa ww chunguza mwenyewe
naongelea kiume zaid.
wachezaji waliobadili Dini nenda uko Duniani napo
India ivyo ivyo kufikia PM MODI kufanya mipango ya kuibana Dini ya UISLAM
baada ya kushtuka namna UISLAM unakua kwa kasi ndani ya India..
So UISLAM upo safarini baada ya miaka 1447 +bado unaendelea kukuwa kuliko Iman zengine zote.
Miujiza mikubwa ndio hii Duniani
Mtume Muhammad S.A.W alisema yeye ni mtume wa mwisho kwenye Ulimwengu,
maswahaba wakamuliza Mtume Muhammad S.A.W vip itakuwaje nani sasa ataitangaza Dini ya mwenyezi Mungu
Mtume Muhammad S.A.W akawajibu maswahaba,,
Mwenyezi Mungu ataijaalia Quran ijitangaze yenyewe.
Huu muujiza mwengine wa UISLAM kwa Binadamu wote.
Swali je Quran haijitangazi.
Jibu. Inajitangaza kwa njia mbalimbali mfano juzijuzi Ma Bank mengi makubwa yalilipia mabango makubwa Barabarani kuitangaza
Shariah Bank ya KISLAM ,
Maswali je kuna Mtume mwengine kaja badala yake Mtume Muhammad S.A.W jibu hakuna.
Je Quran inajitangaza jibu ndio
Dini ya UISLAM ni kweli ya kweli ndio muongozo wa mwanadamu Duniani..
Kuipinga unajisumbua tu. Mana unapingana na kweli.