Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Weye uliwahi hata kuchomwa na sindano ya kushonea viatu? Stupid!Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Hujafa hujaumbika,omba Mungu usikutwe na balaa lolote kubea utasimulia maisha yako yote.Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Jamaa anaona raha kumsikiliza mwanaume mwenzake akiongea,uliberal ni hatar sana.Raha sana kumsiliza Lissu akiongea.
Sifa za kijinga! Hana mtaji mwingine zaidi ya risasi 37TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Too much! Yaani yeye anadhani alipopigwa risasi basi nchi nzima ilipigwa risasi. Au anaamini kila raia wa nchii hii anatakiwa kumpa pole. Rubbish!Hujafa hujaumbika,omba Mungu usikutwe na balaa lolote kubea utasimulia maisha yako yote.
Ni vyema wewe uka fanyiwa majaribio tuhakikishe kama ilikuwa kweli au maigizo.Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Wewe mbona huongelei unavyoingizwa?Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
lete wewe mtaji mwingineSifa za kijinga! Hana mtaji mwingine zaidi ya risasi 37
Stress zitakuua. Tafuta hela mkuu uwe normalToo much! Yaani yeye anadhani alipopigwa risasi basi nchi nzima ilipigwa risasi. Au anaamini kila raia wa nchii hii anatakiwa kumpa pole. Rubbish!
Kisasi ni cha Mungu. Hilo neno ipo siku inamanisha mambo kama ya March 17. Hakuna mkono wa mtu pale ni Mungu mwenyeweDunia iko hivyo, wengi tu hupigwa risasi na wengine hupoteza kabisa maisha, aliyepigwa lisasi akabaki hai, ni mhimu kumshukuru MUNGU
Nambo mengine huwezi kuyabadirisha, yatakuwa hivyo kwa Lisu siku zote, hata tukikumbushana na kukumbushana tukio hilo bado itakuwa hivyo hivyo
Na aishivyo MUNGU, hawezi kuruhusu mtu aliyejeruhiwa akawa na wazo moyoni mwake kwamba, ngoja aombe uongozi ili wamtambue waliomfanyia ubaya, Mungu hawezi kumpa hiyo nafasi hata kidogo, na kama bado ako na mawazo hayo kama waleta crp zake hapa wanaziandika eti iko siku!!
Mungu hawezi kuruhusu kumpa uongozi mtu mwenye mawazo ya ugaidi kuongoza nchi licha ya kwamba yeye kafanyiwa ugaidi
Kisasi ni cha Mungu mwenyezi
Hayo masimulizi ya Mh.Lissu yanawaumiza sana CCM/wasiojulikana.Hawakutarajia uponyaji wake na jinsi ambavyo hajatetereka kiakili na kifikra,waliogopa sana jinsi Wananchi walivyommiminia kura hadi wakaamua kupora matokeo na jinsi Dikteta alivyozimika kiulaini bila kuombewa.Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Wee seng kweliNa wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Lissu mtu mbinafsi kupita kiasi. Ingekua mandela amegeuza kufungwa kwake ndio ajenda kuu kwenye siasa zake sijui ingekuaje. Halafu unakuta mijinga inamlinganisha lissu na mandela. Mtu tangu ajeruhiwe na watu hawajulikani ndio imekua siasa zake. Anafikiria usalama wake binafsi na kulipiza kisasi tu. Mtu mbinafsi muoga kama kunguru anaweza kuongoza kitu gani zaidi ya kutafuta maslahi binafsi?TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Sawa,umeshinda mkuu.Too much! Yaani yeye anadhani alipopigwa risasi basi nchi nzima ilipigwa risasi. Au anaamini kila raia wa nchii hii anatakiwa kumpa pole. Rubbish!
Ukiacha ushabiki wa Kisiasa na Kivyama - Tundu Lissu ni Jamari wa mambo mengi hasa ya Kisheria. Ni binadamu wachache sana walio kama Lissu. Kwa kifupi is " a rare Gene"TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Katika maisha yake hadi sasa ndiyo story kubwa, hawezi kuiacha labda ikitokea kubwa zaidi!Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Dunia iko hivyo, wengi tu hupigwa risasi na wengine hupoteza kabisa maisha, aliyepigwa lisasi akabaki hai, ni mhimu kumshukuru MUNGU