Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

Dunia iko hivyo, wengi tu hupigwa risasi na wengine hupoteza kabisa maisha, aliyepigwa lisasi akabaki hai, ni mhimu kumshukuru MUNGU

Nambo mengine huwezi kuyabadirisha, yatakuwa hivyo kwa Lisu siku zote, hata tukikumbushana na kukumbushana tukio hilo bado itakuwa hivyo hivyo

Na aishivyo MUNGU, hawezi kuruhusu mtu aliyejeruhiwa akawa na wazo moyoni mwake kwamba, ngoja aombe uongozi ili wamtambue waliomfanyia ubaya, Mungu hawezi kumpa hiyo nafasi hata kidogo, na kama bado ako na mawazo hayo kama waleta crp zake hapa wanaziandika eti iko siku!!

Mungu hawezi kuruhusu kumpa uongozi mtu mwenye mawazo ya ugaidi kuongoza nchi licha ya kwamba yeye kafanyiwa ugaidi

Kisasi ni cha Mungu mwenyezi
 
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Hujafa hujaumbika,omba Mungu usikutwe na balaa lolote kubea utasimulia maisha yako yote.
 
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."

TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."

Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Sifa za kijinga! Hana mtaji mwingine zaidi ya risasi 37
 
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Ni vyema wewe uka fanyiwa majaribio tuhakikishe kama ilikuwa kweli au maigizo.
 
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Wewe mbona huongelei unavyoingizwa?
 
Dunia iko hivyo, wengi tu hupigwa risasi na wengine hupoteza kabisa maisha, aliyepigwa lisasi akabaki hai, ni mhimu kumshukuru MUNGU

Nambo mengine huwezi kuyabadirisha, yatakuwa hivyo kwa Lisu siku zote, hata tukikumbushana na kukumbushana tukio hilo bado itakuwa hivyo hivyo

Na aishivyo MUNGU, hawezi kuruhusu mtu aliyejeruhiwa akawa na wazo moyoni mwake kwamba, ngoja aombe uongozi ili wamtambue waliomfanyia ubaya, Mungu hawezi kumpa hiyo nafasi hata kidogo, na kama bado ako na mawazo hayo kama waleta crp zake hapa wanaziandika eti iko siku!!

Mungu hawezi kuruhusu kumpa uongozi mtu mwenye mawazo ya ugaidi kuongoza nchi licha ya kwamba yeye kafanyiwa ugaidi

Kisasi ni cha Mungu mwenyezi
Kisasi ni cha Mungu. Hilo neno ipo siku inamanisha mambo kama ya March 17. Hakuna mkono wa mtu pale ni Mungu mwenyewe
 
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Hayo masimulizi ya Mh.Lissu yanawaumiza sana CCM/wasiojulikana.Hawakutarajia uponyaji wake na jinsi ambavyo hajatetereka kiakili na kifikra,waliogopa sana jinsi Wananchi walivyommiminia kura hadi wakaamua kupora matokeo na jinsi Dikteta alivyozimika kiulaini bila kuombewa.
Hiyo Miujiza ni Mungu pekee aliyeyatenda na bado kazi inaendelea hadi wachawi wavue nguo hadharani.Laana inaendelea kuwatafuna na wamepofushwa wasikumbuke kuomba radhi.Ole wao wapangao uovu gizani maana Siku zao zinakaribia.Tumeyaona Zambia juzi.
 
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Wee seng kweli
 
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."

TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."

Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Lissu mtu mbinafsi kupita kiasi. Ingekua mandela amegeuza kufungwa kwake ndio ajenda kuu kwenye siasa zake sijui ingekuaje. Halafu unakuta mijinga inamlinganisha lissu na mandela. Mtu tangu ajeruhiwe na watu hawajulikani ndio imekua siasa zake. Anafikiria usalama wake binafsi na kulipiza kisasi tu. Mtu mbinafsi muoga kama kunguru anaweza kuongoza kitu gani zaidi ya kutafuta maslahi binafsi?
Thomas Sankara alisema tofauti ya mwanamapinduzi na mchumia tumbo ni namna mtu alivyo tayari kutoa uhai wake bila kujutia katika kupigania maslahi ya umma. Lissu ni mwanasiasa mchumia tumbo tu. Kwa hofu ya maisha yake yeye na familia yake amewakimbia wale anaodai kuwatetea kwenda kuishi brussels kwa fadhila ya mabeberu. Mji wa brussels ubeljiji ndio mahali wakoloni waliketi mwaka 1884 kugawana bara la afrika.
 
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."

TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."

Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Ukiacha ushabiki wa Kisiasa na Kivyama - Tundu Lissu ni Jamari wa mambo mengi hasa ya Kisheria. Ni binadamu wachache sana walio kama Lissu. Kwa kifupi is " a rare Gene"
 
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Katika maisha yake hadi sasa ndiyo story kubwa, hawezi kuiacha labda ikitokea kubwa zaidi!
 
Dunia iko hivyo, wengi tu hupigwa risasi na wengine hupoteza kabisa maisha, aliyepigwa lisasi akabaki hai, ni mhimu kumshukuru MUNGU

Nambo mengine huwezi kuyabadirisha, yatakuwa hivyo kwa Lisu siku zote, hata tukikumbushana na kukumbushana tukio hilo bado itakuwa hivyo hivyo

Na aishivyo MUNGU, hawezi kuruhusu mtu aliyejeruhiwa akawa na wazo moyoni mwake kwamba, ngoja aombe uongozi ili wamtambue waliomfanyia ubaya, Mungu hawezi kumpa hiyo nafasi hata kidogo, na kama bado ako na mawazo hayo kama waleta crp zake hapa wanaziandika eti iko siku!!

Mungu hawezi kuruhusu kumpa uongozi mtu mwenye mawazo ya ugaidi kuongoza nchi licha ya kwamba yeye kafanyiwa ugaidi

Kisasi ni cha Mungu mwenyezi

..Na viongozi wanaofanya ugaidi mungu ameruhusu vipi wapate uongozi?
 
Back
Top Bottom