Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?