Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

Wakuu,

Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.

Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500

Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?

Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?

Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.

Europe and North America inafeli pakubwa sana.

FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?

View attachment 3155131
Hawawezi kumfunga bila ya ruhusa ya mamlaka husika. Laa sivyo wangelishachezea mkong'oto.
 
Wakuu,

Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.

Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500

Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?

Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?

Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.

Europe and North America inafeli pakubwa sana.

FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?

View attachment 3155131
Show
 
Haki inaanzia kwenye kuheshimu haki za watu wengine!!

Huyo aliyeshindwa kufika hospitali Kwa wakati Kwa sababu swala isiyomhusu huoni inaleta tafsiri kwamba walioziba barabara si watenda haki?

Ningekuwa Mimi ndo kiongozi wa nchi hiyo ningechafua barabara. Kobaz kule, kibandiko kule, kanzu kule na viungo vyote vya mwili vinachanganyikana isijulikane kipi ni Cha nani. Dini ya fujo hiyo
Kwa akili hizi za kugeuza viatu hata uongozi wa mtaa uusahau na hata mkeo sijui mmeo atakupelekesha
 
Back
Top Bottom