Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Ni wananch wa hiyo nchi ndio maan wameachwa hawezi, toka muarabu huko Qatar aje tu hapo barabaran kuswali, kama ambavyo hawezi toka mkristo mbeya akaenda saudia kufunga barabar akaimba kwaya,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
hawa jamaa ni extrimists, wanatafuta ugomvi na machafuko kwa nguvu kubwa,
kufunga barabara ili uswali ni kukosa ustaarabu, ubinafsi na kutafuta tu attention.
dini ya haki na ya wapenda amani iongozwe na hekima katika mambo yake,, na sio mihemko kama dini za mizimu
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Thats fake Twitter account inayospread fake news, inajulikana Dunia nzima, na sio ina spread tu fake news kuhusu waisilamu pia ina spread fake news kuhusu watu weusi.
Nakuona hapo mu Africa upo Busy kuspread divide and conquer ya white supremacist.

Kuna wengine hekima kwao huwa ni jambo gumu. Hata hapa kukuta wanaswali barabarani ni kawaida. Na wapenda hekima hubaki kuwaacha na kuwaona wajinga na kuwapuuza.
Ni kama tu walokole wanavyopenda kusali kwa makelele. Anaweza jenga kanisa popote then wanafunga maspika ya disko kanisani.