Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

What part of that tweet ni uongo?

Yaani mpaka kitu kiripotiwe na fox news ndo uamini?

Mkuu uko brainwashed. A typical liberal who believes in the estblishement.

Video inaonesha watu wanaswali barabarani unasema ni uongo?
Europe Invasion ni fake Twitter inayo tumia AI video na images kudanganya mapopoma kama wewe, AI zinatengeneza videos upo dunia gani
 
Kwa kuwanyima haki watu wasitumie barabara kwa kisingizio cha kuswali? Huo ni ubinafsi
acha mabishano mama kaa nyumbani pika nakuja kula leo mi mgeni wako halafu tutaswali pamoja..😁
 
Thats fake Twitter account inayospread fake news, inajulikana Dunia nzima, na sio ina spread tu fake news kuhusu waisilamu pia ina spread fake news kuhusu watu weusi.

Nakuona hapo mu Africa upo Busy kuspread divide and conquer ya white supremacist.
Weather it's a fake news or NOT. Hata hapa Tanzania Kuna huo UFALA sometimes unafanywa na Waislam, wa kufunga barabara kukwaza watu ili uswali. Ni kiwango kikubwa sana Cha ukosefu wa Ustaarabi
 
Hivi hata ume click hio Twitter ukasoma? Ina maana polisi wa Ulaya na vyombo vya habari vyote vikubwa hawajui na wanawasingizia ila wewe kajamba nani huku unajua kila kitu?

Anyway ni friendly reminder ila shimo unalojiingiza mwisho wake ni mbaya.
 
Weather it's a fake news or NOT. Hata hapa Tanzania Kuna huo UFALA sometimes unafanywa na Waislam, wa kufunga barabara kukwaza watu ili uswali. Ni kiwango kikubwa sana Cha ukosefu wa Ustaarabi
Barabara zinafungwa misikitini tena kwa kuomba vibali, sio tu waisilamu sehemu yoyote mjini kukiwa na msiba ama shughuli watu huomba vibali kutumia barabara. We unahisi Canada ni Wajinga kiasi hicho watu from no where wafunge barabara waachwe?
 
Kwaio hio video hapo ni AI generated?? Tuichukue bac tuiweke kweny AI detectors tuone italeta asilimia ngap?

Ili information iaminiwe na nyie lazima itolewe na Qatar's Al Jaazera inayosambaza antisemitism kila kukicha
Umesoma hio tweet nilioweka mwanzo mpaka mwisho? Sometime kuja humu unajibozana tu na watoto kupotezeana muda
 
Walishindwa hata kutafta sehemu nyngne isiyo barabaran wakaswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…