Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Kuna misikiti zaidi ya 700, na bado majitu yanaacha kwenda kusali huko yanaenda kufunga barabara na kukaa hapo wakijifanya wanaswali, ni uchokozi tu wanatafuta, ila wazungu nao wakome kukaribisha watu wa hovyo kwenye nchi zao.Ni wananch wa hiyo nchi ndio maan wameachwa hawezi, toka muarabu huko Qatar aje tu hapo barabaran kuswali, kama ambavyo hawezi toka mkristo mbeya akaenda saudia kufunga barabar akaimba kwaya,
Huyo ndiyo ushahidi wako?Kwa anetaka ushahidi kwamba ni fake Account inayo tumia AI generated video/Image tembelea hapa
View: https://twitter.com/its_linus/status/1837839271241089060
Sawa mzee hovyo, unasingizia Europe Invasion inatengeneza picha na video kwa AI, nimekwambia tuziingize kweny AI detector ituambie percent ngapi hio video ni AI generated unabaki kuita watu watoto.Umesoma hio tweet nilioweka mwanzo mpaka mwisho? Sometime kuja humu unajibozana tu na watoto kupotezeana muda
Waislam wanaswali swala 5, kwa hivyo inawezekana muda wa swala ukakufika popote tofauti na ukiristo kuabudu kwao jumapili hadi j2 tena wamepewa mapumziko ili wafanya ibada yao kwa uhuru zaidiWakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
💯%kutafuta tu attention.
Maharibifu Sanaa haya majamaaa tena yakikarimiwa huleta uharibifu na ujuaji usio tarajia kabisa.Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
mkuu hpo kwa JW mwnyew nimejionea naunga mkono hoja!Kuna wengine hekima kwao huwa ni jambo gumu. Hata hapa kukuta wanaswali barabarani ni kawaida. Na wapenda hekima hubaki kuwaacha na kuwaona wajinga na kuwapuuza.
Ni kama tu walokole wanavyopenda kusali kwa makelele. Anaweza jenga kanisa popote then wanafunga maspika ya disko kanisani.
RC, JW na Wasabato ni wastaarabu sana.
wewe ulijibu?Wewe unashindwa kujibu swali lililouliza unaandika makamasi
Kwani wewe unawatetea makafiri? nilifkiri na wewe pia unawachukia piaMkuu unaweza kutetea unachoamini bila kukashifu watu wengine.
Trust me its possible
Haki inaanzia kwenye kuheshimu haki za watu wengine!!Uislamu ndio dini ya haki wazungu wamezidiwa na ukafiri wao
Ngoma bila kulewa tutaichezaje?Ustaarabu kwa hao jamaa ni sifuri.
Kumbe wamekufungia barabara, kwa masaa mangapi? Uko wapi, Toronto?Hii kitu hua nakutana nayo mitaa flani ya kkoo nikajua labda kwakua ni wazawa wa hapo ndio wanafunga barabara kumbe hadi ughaibuni wana hizo pigo.
Ukishasema HAKUNA MUNGU ILA allah tayari wewe ni kafiri.kwa.sababu umemkana MUNGUKwani wewe unawatetea makafiri? nilifkiri na wewe pia unawachukia pia
Kwanza utuambie hawa watu walikuwa kwenye maandamano au ni wa kazi wa eneo tu? mazingira ya wao kuwa wengi hivyo nataka kufahamuWakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
Haya mafuasi ya mbakaji marehemu mudi ni makorofi sana, hata Dodoma huwa yanafunga barabara ya 7 yanafurama na kubinuliana miku^du barabaraniWakuu,