Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
mkuu ni waislam wa hapo hpo yaan wazawa kwan unajua kila mwislamu ni mwarabu?Kuna misikiti zaidi ya 700, na bado majitu yanaacha kwenda kusali huko yanaenda kufunga barabara na kukaa hapo wakijifanya wanaswali, ni uchokozi tu wanatafuta, ila wazungu nao wakome kukaribisha watu wa hovyo kwenye nchi zao.
Waislam, mafreemason,wachawi ,waabudi sanamu, Wasio na dini ,iluminant ,mashoga na wasagaji wote wana uhuru wa kutosha kwenye nchi za Kikristo . Dini ya Kikrsto ni dini inayoongozwa na falsafa moja kubwa Mpende jirani yako kama nafsi yako .Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
Very smart wale watu. Yaani hata wakiwa kwenye ibada unaweza hata usijue kama wako kwenye ibada hakuna makelele na usafi.mkuu hpo kwa JW mwnyew nimejionea naunga mkono hoja!
Dini ya haki isingekuwa inaua watu hovyo kwa kisingizio cha kwenda akhera na kupewa mabikra 72 ambao wakinywa maji unaona maji yanavyoshuka tumboni..!!🤣🤣Uislamu ndio dini ya haki wazungu wamezidiwa na ukafiri wao
👍👊Ukishasema HAKUNA MUNGU ILA allah tayari wewe ni kafiri.kwa.sababu umemkana MUNGU
Uislamu umekataza kuua labda kwa hakiDini ya haki isingekuwa inaua watu hovyo kwa kisingizio cha kwenda akhera na kupewa mabikra 72 ambao wakinywa maji unaona maji yanavyoshuka tumboni..!!🤣🤣
Uislamu umekataza kuua labda kwa hakiDini ya haki isingekuwa inaua watu hovyo kwa kisingizio cha kwenda akhera na kupewa mabikra 72 ambao wakinywa maji unaona maji yanavyoshuka tumboni..!!🤣🤣
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani wanaweza kwenda kusalia hapo bila kibali cha mamlaka?Haki inaanzia kwenye kuheshimu haki za watu wengine!!
Huyo aliyeshindwa kufika hospitali Kwa wakati Kwa sababu swala isiyomhusu huoni inaleta tafsiri kwamba walioziba barabara si watenda haki?
Ningekuwa Mimi ndo kiongozi wa nchi hiyo ningechafua barabara. Kobaz kule, kibandiko kule, kanzu kule na viungo vyote vya mwili vinachanganyikana isijulikane kipi ni Cha nani. Dini ya fujo hiyo
Wamaanisha unatetea makafiri?Haki inaanzia kwenye kuheshimu haki za watu wengine!!
Huyo aliyeshindwa kufika hospitali Kwa wakati Kwa sababu swala isiyomhusu huoni inaleta tafsiri kwamba walioziba barabara si watenda haki?
Ningekuwa Mimi ndo kiongozi wa nchi hiyo ningechafua barabara. Kobaz kule, kibandiko kule, kanzu kule na viungo vyote vya mwili vinachanganyikana isijulikane kipi ni Cha nani. Dini ya fujo hiyo
ao ni waarabu wakimbizi mzungu gani anapenda uzuzuTatizo lako umekariri waislamu wote ni waarabu, kumbe hao wanaoswali huko ni wazungu ambao ni waislamu, hao wako kwao wewe huku kazimzumbwi unateseka nini?
We mmakonde wa tandahimba unaumia nini warabu wakiswali Canada?ao ni waarabu wakimbizi mzungu gani anapenda uzuzu
Tatizo we hufahamu Uislam afu unaleta sheria vile akili yako inakutuma. Sababu ni kwamba kuna Masajidi hazisaliwi salaa ya Ijumaa. Si kila Masjidi inaruhusiwa watoe hutuba ya ijumaa au Eid lazima huo Masjid uwe mkubwa na uwe una mambari, na pia imepewa amri rasmi na wizara ya dini au Mufti kwa hio salaa. Kusali barabarani kosa liko wapi ardhi ya Mungu yote tahari unaweka msala kazi imekwisha. Swali kwani wewe ni Mcanada? Sirudi Tanzania wao wenye nchi wako kimya wewe unapiga debe la kuza maneno, si bora uje uuze virumbia stand ya mabus huku bongo utafanikiwa kwa story nyingi ulizo nazo na hio fikra.Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
Nathani wewe mtu muhisani kwanini uswachukuweHuyo kwa makafiri wanakimbilia nini siwaende Oman hata Palestine wapuuzi sana hawa
Dini ya haki huku Mwanamke hapewi haki hapa Duniani na peponi pia.... Duniani Mume mmoja na mwanamme wake wanne, Mwanamke anatakiwa akifika pepopni akutane na mishababi 70 wamkaze haswa yaani apate raha zote ndipo tuseme uislam dini ya haki, what are you talking about haki ewe Taqiyya boyUislamu ndio dini ya haki wazungu wamezidiwa na ukafiri wao
Una matatizo ya akiliWakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini ukitaka kwenda kuabudu usiende kwenye nyumba yako ya ibada ukaabudu bila kuwabughudhi wengine?
Na kwanini wazungu wanavumilia mambo haya?
Nimewaza Wakristo waende kwenye nchi kama Saudi Arabia then wafunge barabara za Wasaudia kufanya misa.
Europe and North America inafeli pakubwa sana.
FaizaFoxy na Malaria 2 mko wapi? Hii ni sahihi?
View attachment 3155131
kwakwel wanastahil pongez mkuu kwanz wapo smart san pia uchesh hta nlivokalibishwa nlijihis hulu sana mana wanaurafiki sanaVery smart wale watu. Yaani hata wakiwa kwenye ibada unaweza hata usijue kama wako kwenye ibada hakuna makelele na usafi.