Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
kodi ni jambo la Lazima sio hiyari hata kidogo....

halihitaji kuhimizwa wala kushinikizwa, huo ni zaid ya ustaarabu na kujali.

na hiyo hali ikubadilika itakua mbaya zaid 🐒

Lipa kodi kwa hiyari bila shuruti, kwa ustawi wa Taifa, Tujenge Taifa letu kwa kulipa kodi kwa hiyari 🐒
 
Amasemea huduma haiendani na hiyo lipa Kodi.
 
bado si sababu ya kugoma au kukwepa kulipa kodi.

hiyo ni dosari au kasoro katika huduma hiyo ya usafiri, usipolipa kodi inaweza kua mbaya zaid na utaumia zaid.

vip kwenye huduma zingine mathalani afya, usalama, mawasilino n.k?
 
Ila Afrika watu wanapata tabu jamani..utafikiri wako utumwani kumbe nchi yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom