Dosari, kasoro na changamoto zilizopo ziwe fursa za za kubuni mipango na mikakati ya kuondokana na hali hiyo, daima tulalamike bila kukata tamaa tukizifanyia kazi shida na matatizo yanayotukumba πIla afrika watu wanapata tabu jamani..utafikiri wako utumwani kumbe nchi yao wenyewe.
Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
View attachment 2997741
Nchi ina kodi nyingi huduma hafifu. Agiza gari ndiyo utajua kodi zinavyokusanya. Almost bei ya kununua ndiyo kodi utayolipa.Ila afrika watu wanapata tabu jamani..utafikiri wako utumwani kumbe nchi yao wenyewe.
Kama wewe ni mtoto wa kishua huwezi kujua kaa kimya tu.
Kwani serikali ndio imewaambia wajazane humo kama viazi kwenye gunia?
binafsi niko kanda ya kati, makao makuu ya nchi nikichapa kwa bidii sana kazi ya wanainchi na wenzangu......Tlaatlaah, Etwege, na ChoiceVariable wameshika bomba hapo kurudi kimara bonyokwa halafu wakifika wanaanza kusifia.
Sawa sawaWatu wa dar wanakula maisha ila kiukweli wanakula maisha
Lipa Kodi wewe boyaTazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
View attachment 2997741
Anayelipa kodi Tanzania ni mjinga na ana hela za bure. Huwezi kulipa kodi kwa hela uliyoitolea Jasho.Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
View attachment 2997741
Wanamua kwasababu zipi? KafanywejeTazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
Bila transparency na accountability kwemye matumizi ya kodi zetu mtasubiri sana.kodi ni jambo la Lazima sio hiyari hata kidogo....
halihitaji kuhimizwa wala kushinikizwa, huo ni zaid ya ustaarabu na kujali.
na hiyo hali ikubadilika itakua mbaya zaid π
Lipa kodi kwa hiyari bila shuruti, kwa ustawi wa Taifa, Tujenge Taifa letu kwa kulipa kodi kwa hiyari π
Ukiagiza gari uwe na uwezo wa kulinunua mara mbiliπ! Utalinunua Japan na likifika TPA utalinunua upya hapo ndio utakuwa umeweza kumiliki hio gari.Nchi ina kodi nyingi huduma hafifu. Agiza gari ndiyo utajua kodi zinavyokusanya. Almost bei ya kununua ndiyo kodi utayolipa.
Nenda pale Kimara na Mbezi mwisho asubuhi kama wapiga kura ...Unakaa foleni lisaa zima kwenda kazini bado kuminyana kama hauna nguvu habari yako kwisha.Watu wa Dar unaweza sema wanakula maisha ila kiukweli maisha yanawakula
transparency na accountability ni lazma ianze na mwanainchi binafsi moja moja, sio unajificha kuwajibika kulipa ushuru, na kukwepa kulipa kodi, au unajificha kwa kwa kutoa, kuomba au kuopkea rushwa, then umekaa mahali, tena kwa kuvizia unasubiri serikali iwajibike na kuwa wazi kukuletea maendeleo, wakati wewe umejificha, tena umejificha na kodi unayowajibika kuilipa na huku ukiomba, ukitoa au kupokea rushwa ya kujificha au kukwepa kulipa kodi, kwajili ya maendeleo yako πBila transparency na accountability kwemye matumizi ya kodi zetu mtasubiri sana.
Maisha gani aya jamani si bora ukae mbeya ukalimeNenda pale Kimara na Mbezi mwisho asubuhi kama wapiga kura ...Unakaa foleni lisaa zima kwenda kazini bado kuminyana kama hauna nguvu habari yako kwisha.
Hakuna raia atafanya hivyo ikiwa ukienda Hospitali pamenyooka hambaguliwi kwa mafungu wa bima na wenye cash treatment ni tofauti.transparency na accountability ni lazma ianze na mwanainchi binafsi moja moja, sio unajificha kuwajibika kulipa ushuru, na kukwepa kulipa kodi, au unajificha kwa kwa kutoa, kuomba au kuopkea rushwa, then umekaa mahali, tena kwa kuvizia unasubiri serikali iwajibike na kuwa wazi kukuletea maendeleo, wakati wewe umejificha, tena umejificha na kodi unayowajibika kuilipa na huku ukiomba, ukitoa au kupokea rushwa ya kujificha au kukwepa kulipa kodi, kwajili ya maendeleo yako π
we must be responsible if we want development, and for real, if we real want transformations. Haki na maendeleo vinakwenda sambamba na wajibu π