Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mitano au mia?Mitano tena Haina jinsi
Hata mia ni sawa tu Kila mtu afe na chakrMitano au mia?
Watanzania ni wazuri sana mitandaoni
hili suala hata hapa mtandao ukitaka kulijadili wengi wanakuona mwehu hali ya kua ndo uhalisia huku uraiani. tusipokubali kujadili vitu kwa uhalisia wake tutaendelea kubaki hivi hivi..Mitano au mia?
Watanzania ni wazuri sana mitandaoni
Keyboard warriors, sisi waTZ ujasiri bado sana!Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo iringa jirani na nyumba ya asas midume imekaa inashangaa Moja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha Kila mmoja dmwetu tarehe 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa hivyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili
KabisaKeyboard warriors, sisi waTZ ujasiri bado sana!
Tupo vizuri sana mitandaoni na ndio uhalisia wetu, hili ni taifa la keyboard woria.hili suala hata hapa mtandao ukitaka kulijadili wengi wanakuona mwehu hali ya kua ndo uhalisia huku uraiani. tusipokubali kujadili vitu kwa uhalisia wake tutaendelea kubaki hivi hivi..
nb: museveni miaka 39 madarakani, biya miaka 43 madarakani
Nani katekwa tena?Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.
Hvyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili.
Nenda Instagram page ya sativa255_ utaonaNani katekwa tena?
Hamna kitu watanzania ni waoga ikiwzmo Mimi na wewe huo ndio uhalisia kama watu kutekwa na kuuwawa sio sababu utakua unamapungufu kichwaniKwani lile vurugu meatu mpqka mkuu WA wilaya akaenda kushonwa nyuzi za kutosha ilikua ni Kenya? Hapa watz bado hawana sababu ya kuandamana mkuu muda ukifika hata lisu watu hawato msikiliza akiwaomba wawe wapole
Lissu angechukua hela akasepa zake.Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.
Hvyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili.
Hivi unaakili timamu Kweli unapiga mkuu wa wilaya halafu watekaji unawogopa hii akilUnasema Hamna kitu mkuu wa wilaya kidogo atangulizwe ahera mkuu ulikuwepo kwenye huo mtiti lakini mtu mpaka alipigwa shaba
Kabisa watanzania waoga sanaLissu angechukua hela akasepa zake.