Kujifanya Mlokole huku ukidhulumu watu kunaichafua dini nzima. Kama na wewe unafanya acha la sivyo jitoe katika Ulokole maana unaunajisi.Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo
Ndio demokrasia. Hawana mtazamo mmoja, upinzani imara utatoka ndani ya sisiemu, to be precise sisiemu hii aliyoiacha JPM.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bi Sipora Liana alimsumbua sana Meya Isaya Mwita, lakini madiwani wa CCM wakashangilia kwa sababu Mwita alikua Meya anayetokana na Chadema. Leo wananyukana wenyewe kwa wenyewe. Meya wao, Mkurugenzi wao, lakini vimeumana.
Nimeamini maneno ya God bless Lema kuwa wapinzani wakitoweka bungeni basi ccm hao hao wataanza kuoneana wenyewe kwa wenyewe.
Mleta uzi @%#$€¥## kwdhani analeta bonge la uzi kuponda kumbe ndio sisiemu wanaonyesha ukomavu wao. Kama hawapati malumbano ya hoja toka upinzani basi watapata toka humo humo sisiemu.Bora ccm wananyukana kwa ajili ya kutetea maendeleo ya wananchi lakini Lisu ananyukana kwa ajili ya kutetea Acacia
Umbumbumbu nao ni faniBora ccm wananyukana kwa ajili ya kutetea maendeleo ya wananchi lakini Lisu ananyukana kwa ajili ya kutetea Acacia
sio kwa dharau kama hizo,kwenye dharau hakuna tija yoyote,Mleta uzi @%#$€¥## kwdhani analeta bonge la uzi kuponda kumbe ndio sisiemu wanaonyesha ukomavu wao. Kama hawapati malumbano ya hoja toka upinzani basi watapata toka humo humo sisiemu.
Kwani bado upo kwenye lindo hapo chato?Ndio demokrasia. Hawana mtazamo mmoja, upinzani imara utatoka ndani ya sisiemu, to be precise sisiemu hii aliyoiacha JPM.
Wacha wafu wazikaneNaona moto unakolea,''usifundishe mbwa kuuma watu siku akikosa wa kumuuma atakuuma wewe''
Ccm ni chaka la wahalifuZa kulinda, kutetea na kueneza habari za CHADEMA na makada wake. Ni hilo tu!
Huyo Etwege hata kazi ya house boy hawezi kuipata kwa mh LissuPunguani wewe.
Lissu anaweza kukulisha wewe na familia yako. Anakuzidi kila kitu.
Huyo mkurugenzi hawezi kuwa mlokole maana matendo yake yana mhukumuKujifanya Mlokole huku ukidhulumu watu kunaichafua dini nzima. Kama na wewe unafanya acha la sivyo jitoe katika Ulokole maana unaunajisi.
Demokrasia ya chatoNdio demokrasia. Hawana mtazamo mmoja, upinzani imara utatoka ndani ya sisiemu, to be precise sisiemu hii aliyoiacha JPM.
Leo siyo zamu yako kulinda kaburi?Mleta uzi @%#$€¥## kwdhani analeta bonge la uzi kuponda kumbe ndio sisiemu wanaonyesha ukomavu wao. Kama hawapati malumbano ya hoja toka upinzani basi watapata toka humo humo sisiemu.
Huyo ni zaidi ya mbumbumbu bali ni KILAZAUmbumbumbu nao ni fani
Wakurugenzi wajinga wajinga wenye mawazo ya kijinga ndio wanaongoza ndio waajiri wa halmashauri!!🤔 Yaani ni kama waziri mkuu amtunie spika bungeni! Dah na mama hapo ataunda tume ya uchunguzi... Kweli JPM upumzike kwa amani. Maana ungekuwepo sijui..tu.Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !
Unampenda Mbowe? Mbona unamtaja taja tu bila hata ya sababu za msingi?mama mbowe
Huyu mama ana matatizo makubwa."Mkurugenzi kama una shida ya brain uniambie" 🤣