Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Ni halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?
Hilo anayeweza kuliongelea ni Mungu wake tu mwenye uwezo wa kuona mpaka rohoni. Ubarikiwe siku yako kwa neno lipatikanalo:
1 Samweli 16:7
 
Sasa wewe unamkanya mwenzio kwamba Muislamu mmoja akikosea si sahihi kuwajumuisha waislamu wote,wakati huo huo unawaambia CHADEMA waache upuuzi kwa kuwa tu umekosea na mtu mmoja anayedhani ni CHADEMA.
 
... kiongozi hilo picha umeweka kipande sana! Natamani kujua hiyo "USINIONEE" ni kwa muktadha upi hasa bi mkubwa analalamika kuonewa? Au ni issues za jinsia? Na hiyo shida ya "brain" sijui ni ipi?
kwa yoyote anayefahamu, Tafadhali naomba unijulishe ni nini kilipelekea wakafika hatua hii?
Meya Songoro kachomekea Genge la wezi na ujenzi wa Madarasa baada ya msingi wa majengo pamesimama wiki 3
ndio Mama kapanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…