Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe bweka basiLeo mkimbizi anabweka
USSR
Jamaa aunauwezo mdogo udini na kujikuta ana hekima kupost vitu insta . Kwa namna ya mtu tule tunasafari ndefu kama NchiHapo mwisho Kwa msaidizi binafsi wa rais Wazuri Rajabu Wazuri ndo patamu,na mama humwambii kitu kuhusu huyo mwamba.
Umemsikiliza ama bando ndiyo tatizo?Yaan Lema nae ana somo gani? Tanzania hatujaishiwa hivyo .
Bwabwa la lumumbaLeo mkimbizi anabweka
USSR
.."kama adui yangu ni Rais, mlinzi wangu ni Mungu.." Godbless LemaNabii kazini
NdioSasa haya unayaweka hapa kueleza kitu gani kama siyo kujisikitikia nyinyi wenyewe? Ni lipi hapa unaloweza kusema serikali imefanikiwa; kuzuia mikutano? Hayo ni mafanikio ya kujivunia?
Basi sawa.Ndio