Hakika ameongea kinabii na ametoa ushauri wa dhati kwa muungwana yeyote. Hata watoto wadogo wamepata ujumbe, yeyote atakayepanga kumwaga damu za Watanzania vizazi vijavyo vitadai haki ya damu hizo. Ni bora kila anayetishiwa maisha ayaweke hadharani ili jamii yote ijue na iwe kumbukumbu mbeleni. Mungu isaidie amani ya Tanzania na Watanzania, Amen.