Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maagizo au ndy mweupe kichwaniNahisi kapewa maagizo ya kumbana Lissu, nimefuatilia hayo mahojiano hilo ni dhahiri.
Angekuwa yule Kabaye ndiye angeiweza hiyo kazi, huyu akili ndogo na ana mihemuko kafeli.
Tuna chakumfanya basi😃😄Tumfanyajeee hebu semaaa
Amenikera sana 😂
aqil kubwa wewe NifahAmedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.
Na Lissu katumia busara zaidi kwa kumtajia vyombo vya kimataifa vilivyomhoji BBC na DW, kwamba Clouds ni chombo kidogo afahamu hilo.
Sasa Kija anapomwambia Lissu hawezi kufuatilia kila kitu ni vitu gani anavyoona anaweza kuwa mzania sawa na Lissu? Mambo anayofuatilia Lissu atayaweza?
Mpumbavu sana huyo dada.
Unajua maana ya "Kumchabanga" lakini? Mimi nimekuja mbio nikifikiri Lissu amempiga mwandishi kumbe ni upupu mtupu!! Shuleni ulienda kusomea ujinga au?Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
leo clouds walikua ovyo kabisa, huyu kija ndo kaaibisha clouds utafikiri alikua na maelekezo toka ccm.Huwa namuangalia kwweli hiki kipindi hakiwezi amejaa ujuaji mwingi usiokuwa na maarifa ni kama vile anaenda kumfanyia mtu kazi..
Analysis ya kwanza
1. Anapenda kujibizana na wahojiwa wake kwa kujifanya anajua kila kitu. Mtu umemwita kwwnye kipindi chake mwache aeleze anachokijua au kukielewa Acha kumkatisha katisha ovyo huku ukitaka kutekeleza agenda zako
2. Nilifuatilia mahojiano ya jebra kambole na Yericko Nyerere kuna point ambayo Yericko Nyerere aliipopint kuwa vyombo vingi vya habari kwa muda mrefu mliacha kuiongolea chadema Lakini baada ya Tundu lissu na Mbowe kugombea nafasi moja vyombo vyote vimeonyesha interest na Chadema...kakaja juu etii ohhh si kweli oohhh sijui tumefanya hili, lile etc... wakabishana ila nadhani busara za mhojiwa akanyamaza, lkn ukweli unajulikana
2. Jana kamhoji Gerva Lyenda hivi hivi yaani haachi mtu aongee mtazamo wake anatka kumpeleka kwenye angle yake na hii Gerva naona ikawa inampa shida kiasi fulani lkn alijitahidi sana kujiweka kwa nafasi yake. Anapendq kuuliza maswali ambayo hayako relevant.
3. Sasa leo kakutana na kisiki cha mpingo lissu hajamkopesha nadhani kati ya interview za ovyo ambazo anaweza kuiona yeye ameshindwa kudeliver ni hii ya Leo. Lissu kamoutshine kabisa. Wale co-host wamejitahid lkn ni kama vile walikuwa hawajiamini kumhoji lissu. Yeye kija leo kabaki kuwa msikilizaji zaidi kwani maswali yalikuwa panched hta kabla hajayamaliza. Ni hicho kilichotokea leo. Ajifunze kuhoji watu wakubwa kama kina Tundu Lissu ukiwa umefanya homework vizuri. Amuangalie mwenzake masoud kipanya anavyokuwa katika uhojaji. Hiki kipindi kilimhitaji zaidi masoud kipanya kuliko hao 360.
Tumrogeeeeee Mimi ntatoa kuku weupe kumi 😂Tuna chakumfanya basi😃😄
Kampa za ugoko safi sana.. Waandishi wengi hawanaga maandalizi ya kutosha kwenye interviewKatikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"