abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi mkali sana kiasi kwamba hakuna mtu anaruhusiwa kusimama maeneo hayo.
Na kumbuka ulipokuwa Bukoba ulisema ukistaafu utaishi mkoani Kagera.
Mheshimiwa njoo huku ujibu.
Asante