Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Mbona unaunga mkono wizi wa Magufuli? Mara tu Magufuli akiondoka madarakani utasikia mengi ya hovyo. Haijalishi rais ni CCM mwenzie. Kila kinacholipwa saivi wao tu na Doto James ambaye ni Mpwa wake ndiyo wenye kuidhinisha. Umejiuliza kwanini?

Magufuli anafanya mazuri kiasi ila ni jambazi mkubwa sana wa kalamu. Atakuja kukiona muda si muda. Yeye na watu wake wa karibu watajuta ni kwanini hata kawa Rais. Maisha yake ya kustaafu yatajawa na simanzi.

uzuri hawezi kumsimika Urais amtakaye kwa sababu hajui siasa na wana CCM wanamuwinda kuhakikisha nchi haiangukii mikononi mwa mteule wake.
 
Najua kumtetea hamuwezi mtabaki kukejeli tu huu mwaka mtamu sana
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
 
IMG_0468.jpg

Ccm wenyewe wanamkubali Lissu kiaina![emoji1308]
 
Lissu akichukua nchi mtajuta. Huyu anatafuta upigaji akipata urais. Anasingizia wenzie bila ushahidi au vielelezo bayana. Hafai hata kwa mchuzi.
 
Yaani nikisikia vyama vya tawala vinasema vitaleta maendeleo,au kiongozi fulani ni mzalendo,huwa natema mate,
Viongozi wengi wa Afrika ni majizi,ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo,Mkapa alliba Kiwira,akaiaribu Tanesco,Kikwete alipiga escrow,Richmond,na skandsli kibao,huyu wa sasa hv anajifsnya maraika kumbe shetani kabisa,anaiba,anaua,
 
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Ngoja watoke ufipa na matusi yao. Ilani ya CHAMA hawagusi wametia mfukoni wanatembea na akili ya mtu mmoja na sio ilani ya chama
 
Back
Top Bottom