Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Mungu aliyemponya Lissu kwenye risasi zenu 16 hawezi kukujibu hivyo. Huyo atakayekujibu ivyo ni mungu tena wa kwenuYes Mungu atanijibu kwa Magufuli kuendelea kuwa Rais wa JMTView attachment 1578603
Magufuli fisadi, jizi, binafsi, mbaguzi wa kidini, kikabila, kikanda na kichama. Sema Ameen!Haya, sawa.
Sisemi. Tuone utanifanya nini....Sema Ameen!
🤣🤣🤣🤣Sisemi. Tuone utanifanya nini.
Najua umeshasema kimoyo moyo. Safi sanaSisemi. Tuone utanifanya nini.
Unamuamini Lisu??Lissu kamatia hapo hapo.
Piga spana tu.
Mzee Meko huko alipo anaweweseka kwa hofu na mashaka.
Mkuu acha ubishi magu amepora ardhi na ameanzisha lunch ambayo kwa sasa inalindwa na JWTZLissu akichukua nchi mtajuta. Huyu anatafuta upigaji akipata urais. Anasingizia wenzie bila ushahidi au vielelezo bayana. Hafai hata kwa mchuzi.
Wewe tueleze ile ranch ya magu ameianzisha kwenye ardhi aliyoinunua toka kwa nani?Unamuamini Lisu??
kweli nchi hii matahaira ni wengi
We mvimba macho usichokijua ni kwamba ata meko ameisahau ilani ya ccm now anasoma ya CDMNdio ilani ya Chadema hiyo? Duh.
Wewe kama unataka kuongozwa na mwizi ni wewe ila si watanzaniaKama hoja iyo itamuweka madarakani basi sawa.
Baba mwizi,mama mwizi,watoto wezi[emoji1787][emoji1787]Ccm ni ukoo wa panya ni chama cha kishetani
Siamini! Ndiye huyo tunayeambiwa ni Mcha Mungu?
Kwa hyo nyie kuhodhi na kuiba Mali za watanzania ni jambo la kawaida kabisaKuna ubaya gani yeye kuhodhi ekari hizo wakati waliomtangulia wana mahekari kibao kuliko hizo 25,000 ?
Cha muhimu TL angeongelea Katiba mpya ili kukata mzizi wa fitina